Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kujisahihisha na kuchukua uelekeo sahihi na makini ni Jambo la kiugwana. Vijana wa Tz wanapotoshwa sana, maisha sio rahisi ki hivyo sio kila mmoja awe mfanyabiashara, tunaharibu taifa kwa...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Basi Kisha Mtemi WA Wanatta akaendelea. "Siku Moja nilimvizia yule shujaa WA kijiji akiwa amekaa pembezoni mwa mto nikamsukuma akaangukia Mtoni, Kisha nikapiga filimbi na kelele za kuwatangazia...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimemsikia Grayson Msigwa akidadavua mafanikio ya awamu ya 5. Wamegawa vitambulisho vya machinga 1,600,000 @ sh. 20,000/- Jumla sh. 32,000,000,000/-. Sijui Kama CAG anajua zilipo.
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni kweli kwamba Ole Sabaya amethibitishwa na Mahakama kwamba alipora kiasi kikubwa cha Pesa za Mwananchi , raia mwema kwa kutumia mtutu wa bunduki ya kivita AK-47 , na ndio maana akahukumiwa...
14 Reactions
39 Replies
3K Views
Alikuwa akihojiwa na Maulid Kitenge kuhusu kusifia kila kitu yeye akasema, hajui kutaga yai lakini yai bovu analijua, ‘mimi kama kiongozi wa dini wajibu wangu ni kuangalia wapi panahitaji...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa hakika kipindi cha awamu ya tano kilikuwa kipindi kigumu sana kwa watanzania wengi sio Wapinzani pekee bali hata ndani ya CCM. Ukisoma waraka wa huyu mama Vick Kamata Likwelile aliyekuwa...
12 Reactions
75 Replies
4K Views
Hii ni kwa sababu kipindi wanachopitia raia wake kwa sasa ni cha dhiki kubwa mno , ukichunguza utagundua kwamba Ni vigumu kwa raia wa Tanzania kwa sasa kupata milo mitatu , wengi wanapata mlo...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mara 3 nilipata nafasi ya kuhudhuria mikutano ya kisiasa South.. kwa kiasi kidogo kuna kitu nilikigundua kuhusu Siasa za Africa kusini na Africa kwa ujumla. Mara zote hizo nilihudhuria mikutano...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Mtaalum ya Masuala ya Psychologia, Abraham Maslow Mnamo mwaka 1943, Alikuja na Majibu ya utafiti wake, Katika Mahitaji ya Binadamu, aliwela Wazi mahitaji Matano(5), kama nilivyoonyesha hapo chini...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Amini nakwambia. Kukimbizwa kwa kesi ya Sabaya ni ili kesi ya Mbowe imalizike coz ishakua ngetwa. Ipo hivi, Mbowe kupewa kesi ni ili kupisha kesi ya Sabaya iishe bila yeye kuwa kama shahidi kwa...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha utakaofanyika Desemba 11 mwaka huu. Siku hiyo pia utafanyika uchaguzi mdogo wa diwani wa kata ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Watu wana msemo kuwa maneno tanaumba. Sabaya alitoa haya maneno pale mkoani Kilimanjaro na wana Kilimanjaro tukapigwa na mshangao mkubwa. Kweli maneno uumba. ..
15 Reactions
135 Replies
10K Views
Polisi bado wanachunguza kutoweka kwa mwandishi wa habari maarufu wa Tanzania Azory Gwanda ambaye alitoweka mwaka 2017, amesema Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa katika mkutano...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nchi hii haiwezi kuendelea kama wananchi wa nchi hii hawatafanyakazi na kulipa kodi. Tupo takribani 44,929,002 ila wanaokadiliwa kulipa kodi (watu pamoja na mashirika) ni 2.7 m. Cha ajabu...
6 Reactions
93 Replies
12K Views
Hivi sasa kinachoendelea ni kwamba hofu kubwa sana ya CCM Taifa ni uwepo wa CHADEMA kama chama cha siasa hususani kinachojijenga kuwa chama mbadala kwa malengo chanya ya Taifa. Kabla sijaendelea...
1 Reactions
3 Replies
757 Views
Binafsi sikushangaa kabisa kumuona Jerry Silaa akiingia na lundo la vitabu na manual zinazoelezea sheria za kodi. Kinachonishangaza ni baadhi ya wadau kumtaka Jerry Slaa kuiweka hadharani salary...
10 Reactions
37 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda, ukiangalia namna nchi yetu iliyovyoendeshwa kuanzia 2005 awamu ya Kikwete mpaka 2015, na baadae 2015 mpaka 2020 awamu ya Magufuli utagundua kitu hapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh John Heche amesema CHADEMA ikipewa ridhaa ya kuongoza nchi itaruhusu Uraia Pacha. Chanzo: Star tv
6 Reactions
65 Replies
4K Views
Salaam wanajukwaa, Maandiko matakatifu yanasema "usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwingine" Naamini wanasiasa wengi ni wacha Mungu na wanayajua mafundisho vyema na msema kweli ni mpenzi wa Mungu...
12 Reactions
35 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…