Maovu hawakutendewa Wapinzani pekee bali na wao wenyewe

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,932
2,000
Kwa hakika kipindi cha awamu ya tano kilikuwa kipindi kigumu sana kwa watanzania wengi sio Wapinzani pekee bali hata ndani ya CCM.

Ukisoma waraka wa huyu mama Vick Kamata Likwelile aliyekuwa mbunge wa CCM utanielewa nasema nini, na utagundua wale wanaomsifia "shujaa" wa kuchonga ni unafiki tuu au kutokujua na kujazwa propaganda kiasi kikubwa.

20211016_094249.jpg
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
110,050
2,000
Kwa hakika kipindi cha awamu ya tano kilikuwa kipindi kigumu sana kwa watanzania wengi sio Wapinzani pekee bali hata ndani ya CCM. Ukisoma waraka wa huyu mama Vick Kamata Likwelile aliyekuwa mbunge wa CCM utanielewa nasema nini, na utagundua wale wanaomsifia "shujaa" wa kuchonga ni unafiki tuu au kutokujua na kujazwa propaganda kiasi kikubwa. View attachment 1976158
Mh Lema aliposema kuwa wakimaliza wapinzani basi watahamia kwa wana ccm .

Lema unaweza kusema huwa anaongea na Mungu ingawa unaweza kuwa unakufuru.

Leo hii wana ccm wameanza kutema nyongo na ni haki yao maana nyongo ina kawaida ya kuwa sumu ikikaa sana mwilini.
 

LOGIC MENTALITY

Senior Member
Mar 19, 2021
101
225
Kwa hakika kipindi cha awamu ya tano kilikuwa kipindi kigumu sana kwa watanzania wengi sio Wapinzani pekee bali hata ndani ya CCM. Ukisoma waraka wa huyu mama Vick Kamata Likwelile aliyekuwa mbunge wa CCM utanielewa nasema nini, na utagundua wale wanaomsifia "shujaa" wa kuchonga ni unafiki tuu au kutokujua na kujazwa propaganda kiasi kikubwa. View attachment 1976158
Hawa ni mafara na wezi docta kafumu alikuwa fara sana ni fisadi sana hakuna alichokofanyia jimbo letu kafumu alistahili kufukuzwa chama

Chama kilikuwa na majizi hakuna mwizi anaweza kukaa na mwema ,
Lazima mwizi awe anajihisi tu sisi kwetu awamu ya tano ILICHOTUFANYIA TUNAIONA

SERIKALI YETU KIKWETE ALIIKABIZI KWA WATU FULANI
WALIKUWA HAWAGUSWI AWAMU YA TANO UTAWALA ULITUONYESHA KUWA WOTE TUKOSAWA


NYIE AKINA KAFUMU MLIZOEA SERIKALI KUIWEKA MFUKONI HATA KUCHANGIA KWENU ILIKUWA KWA KEJELE NA KUTETEA MAMBO YENU NDIO MAANA MLIKUWA HIVYO

MAFARA SIKU ZOTE HUWA WANATAFUTA MAMBO YAKO


SERIKALI YA AWAMU YA TANO ilitafuta watu wapya wengi sio mwendelezo wa serikali kumilikiwa na kikundi cha akina fulani saivi tunawaona wanarudi sasa ila nao wao walishajua hii nchi ni yetu sote

Hatuwezi kutengeneza serikali ya watu fulani tu nadhani KAFUMU ALIPATABALICHO STAHILI

KUHUSU WAPINZANI tunaitaji watu wapya sasa upinzani alioufanya mbowe mwaka 2007 ana akaeleweka umezoeleka sana hoja zao zote awamu ya tano ilizifanyia kazi
Rushwq ili kwisha sana , watumishi serikalini walifanya kazi vizuri,ccm ilijipambanua kila mtu siku hizi anaipenda ccm , kwenye madini tulubadilisha mikataba kidigo , kwenye michezo simba ilienda robo fainali mara mbili taifa STAR IKAENDA AFUCON,

MIUNDO MBINU ILIKUWA INAISHA KWA WAKATI ,ELIMU BURE , TOZO ZA WAKULIMA ZILIPUNGUA SANA , PEMBEJEO ZOTE WANAINCHI WALIPEWA BURE


CCM ILIBADILIKA SANA WANAINCHI NA MIGOGORO YA ARIDHI ILIPUNGUA SANA

UPIGAJI ULIISHA KABISA

SASA UNATAMANI NINI?

SAIVI MAMA ANAZUNGUKA TU NA NDEGEZA ZAMAA JE ?MBONA HAZIKUNUNULIWA VIPI VYOTE , TUMESHUDIA MELI ZIKIJENGWA TULENI YA KWENDA MOSHI NA KILIMANJARO MBONA HAZIKUELETWANyie kuweni makini sana HUYU JAMA YUKO KWENYE MIOYO YA WATU ANAISHI acheni polojo zenu wapinzani kwenye nchi hii hatujaona mchango wao hata kidogo

Wapigaji tu majimbo walio yakalia wameyaacha magofu

Mwamba amejitahidi sana naomba muache ujinga leteni hoja sio mnatetea matumbo yenu nchi kwanza sio matumbo

Kafumu hana lolote walikuwa wapugaji
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom