Nimefuatilia shutuma nyingi dhidi ya Sabaya zinaonesha zina ukakasi. Hongera Rais kwa kuruhusu uchunguzi juu yake

Sukari Mine

New Member
Dec 9, 2020
4
14
Habari wakurugenzi..!
Binafsi nimekuwa nikimfatilia sana mkuu wa wilaya wa Hai aliyepita ndugu Sabaya.

Kiukweli nimefuatilia interview zake na pamoja na wale wanaomshutumu nyingi zinaonyesha zina ukakasi yaani zinaweza zikawa sio shutuma za kweli juu yake bali za kupika.

Ukiangalia utaona vita kubwa aliyokuwa anapigana Sabaya ilikuwa na wafanya biashara hapa linatajwa jina la Cathbert kila linapotajwa jina la Sabaya .

Tukumbuke Sabaya wakati anatekeleza majukumu yake yeye alikuwa anapokea maagizo tu toka juu na ndio maana alikuwa akamatiki lakini sasa anahukumiwa kwa kutekeleza majukumu yake na kumtii boss wake wa zamani.

Je ndio kusema mama amekuwa akiyatekeleza yale ya wapinzani kuliko yale ya chama chake cha CCM?? kama ndio hivyo basi mama atakuwa anatukosea pakubwa sana,ila naamini mama amefanya uamuzi wa busara sana ameanza style ya kung'ata na kupuliza kama panya na kuwapumbaza wapinzani kwa kufikiri kwamba anatekeleza maadhimio yao kumbe moto ni ule ule yaani kazi iendelee maana hawa wafanyabiashara wanafikiri kwamba akiondilewa Sabaya ndio itakuwa nafuu kwao kukwepa kodi kitu ambacho si kweli pia kuna wafanya biashara wanaotumika na kina Mbowe haya yote mama anayajua ila anang'ata na kupuliza tu.

Binafsi naamini kabla ya Sabaya kuondolewa kuna maongezi yalifanyika,naye ametolewa kama mbuzi wa Eid El fitiri ili kuwafurahisha wapinzani huku Sabaya akirudishwa kwenye ile kazi yake ile.
 
New Member, umetumwa na nani kuja humu kumsafisha huyo mwendawazimu wako? Au ndiyo wewe mwenyewe Ole Sabaya umekuja kujitetea??
 
Hakika uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana

Mama anauma kwa DPP na kupuliza kwa DC
FB_IMG_1620965888861.jpg
 
Binafsi mama simsapoti...staili yake ya iongozi tulishawahi kua nayo ikafeli.
 
Uchawa umeponza

Zamani chawa walikua wanaolewa bila kujali jinsia
 
Hivi huu ujinga wa maamuzi kutoka juu utaisha lini? Mbona mnapenda kuwasingizia Viongozi wetu wa Kitaifa mkiharibu mambo? Kwani viongozi wengine kama akina Kunenge hawapewi maamuzi kutoka juu?
 
e ndio kusema mama amekuwa akiyatekeleza yale ya wapinzani kuliko yale ya chama chake cha CCM?? kama ndio hivyo basi mama atakuwa anatukosea pakubwa sana,ila naamini mama amefanya uamuzi wa busara sana ameanza style ya kung'ata na kupuliza kama panya na kuwapumbaza wapinzani kwa kufikiri kwamba anatekeleza maadhimio yao kumbe moto ni ule ule yaani kazi iendelee maana hawa wafanyabiashara wanafikiri kwamba akiondilewa Sabaya ndio itakuwa nafuu kwao kukwepa kodi kitu ambacho si kweli pia kuna wafanya biashara wanaotumika na kina Mbowe haya yote mama anayajua ila anang'ata na kupuliza tu.
ndugu musiba bado wewe kwani nawe uliyoyafanya sasa ni muda wako kuyalipa. pambaf!
 
Habari wakurugenzi..!
Binafsi nimekuwa nikimfatilia sana mkuu wa wilaya wa Hai aliyepita ndugu Sabaya.

Kiukweli nimefuatilia interview zake na pamoja na wale wanaomshutumu nyingi zinaonyesha zina ukakasi yaani zinaweza zikawa sio shutuma za kweli juu yake bali za kupika.

Ukiangalia utaona vita kubwa aliyokuwa anapigana Sabaya ilikuwa na wafanya biashara hapa linatajwa jina la Cathbert kila linapotajwa jina la Sabaya .

Tukumbuke Sabaya wakati anatekeleza majukumu yake yeye alikuwa anapokea maagizo tu toka juu na ndio maana alikuwa akamatiki lakini sasa anahukumiwa kwa kutekeleza majukumu yake na kumtii boss wake wa zamani.

Je ndio kusema mama amekuwa akiyatekeleza yale ya wapinzani kuliko yale ya chama chake cha CCM?? kama ndio hivyo basi mama atakuwa anatukosea pakubwa sana,ila naamini mama amefanya uamuzi wa busara sana ameanza style ya kung'ata na kupuliza kama panya na kuwapumbaza wapinzani kwa kufikiri kwamba anatekeleza maadhimio yao kumbe moto ni ule ule yaani kazi iendelee maana hawa wafanyabiashara wanafikiri kwamba akiondilewa Sabaya ndio itakuwa nafuu kwao kukwepa kodi kitu ambacho si kweli pia kuna wafanya biashara wanaotumika na kina Mbowe haya yote mama anayajua ila anang'ata na kupuliza tu.

Binafsi naamini kabla ya Sabaya kuondolewa kuna maongezi yalifanyika,naye ametolewa kama mbuzi wa Eid El fitiri ili kuwafurahisha wapinzani huku Sabaya akirudishwa kwenye ile kazi yake ile.
Utakuwa mke wa Ole Sabaya au hawara tu ! Sukari Mine Anza kutafuta Mwanaume mwingine huyu lazima aingie gereza la Karanga
 
New Member, umetumwa na nani kuja humu kumsafisha huyo mwendawazimu wako? Au ndiyo wewe mwenyewe Ole Sabaya umekuja kujitetea??
Yaani huyu anae mtetea Sabaya hana akili. Kitendo cha kufurahia uchunguzi ni sawa na kwamba kaingia choo cha kike. Hili ni kosa la penalty. Maana jamaa lazima apelekwe mahakamani.
Na ataishia kurusha ndege Kisongo.
Bora mnge omba afukuzwe kazi.
 
Back
Top Bottom