Sankara vs Magufuli

Sankara vs Magufuli

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,716
In 4 years, Thomas Sankara

- Built 350 schools, roads, railways without foreign aid

- Increased literacy rate by 60%

- Banned forced marriages

- Gave poor people land

- Vaccinated 2.5 million kids

- Planted 10 million trees

- Drove out French imperialism & withdrew Burkina Faso from IMF

Will Magufuli beat this record?
20200629_004537.jpeg
 
Kamwe. Sankara alikuwa mtu mwenye akili na mdiplomasia pia. Tatizo lake alimwamini sana Blaise Compaore. Matokeo yake Blaise akamyuda iskariote mtu waliekua pamoja tokea wakiwa vijana.

Sankara alikuwa ni wa faida sana Africa. Alikuwa hasiti kwenda kwenye mkutano wa OAU na kutoa hotuba constructive kabisa.

Aliwahimiza wana Bukina Bé wafanye kazi walivuna pamba maradufu kila nguo zikawa bukina bé.

Huwa nasoma vitabu vya kumuhusu nabaki kusema huyu mtu alikuwa jasiri sana na mwenye akili.

François Mitterrand aliona njia pekee ni kumuondoa kwa kumtumia Blaise Compaore.
 
In 4 years, Thomas Sankara

- Built 350 schools, roads, railways without foreign aid

- Increased literacy rate by 60%

- Banned forced marriages

- Gave poor people land

- Vaccinated 2.5 million kids

- Planted 10 million trees

- Drove out French imperialism & withdrew Burkina Faso from IMF

Will Magufuli beat this record?View attachment 1500146
Sankara akusomesha watu namba ili wamuabudu
 
Nchi jirani wanatamani wapate Rais kama Magufuli.
kwa hili nikagundua Tanzania kupata Rais mfano wa Thomas Sankara a.k.a Che wa Africa ni bahati kubwa.
 
Nilisoma kitabu kinaitwa "Thomas Sankara speaks "Jamaa alikufa akiwa na miaka 37 tu. Alianza kuongoza nchi akiwa na miaka 33.Huyu alikuwa kichwa haswa. Kuna speech aliongea kwenye mazishi ya Samora Machel,acha tu. Sankara ni real son of Africa. Yaani kuna sehemu nilikuwa nasoma hadi machozi yananitoka. Kweli wema hawadumu.
 
Lakini wanafannania kidogo na huyu mchato
Nilisoma kitabu kinaitwa "Thomas Sankara speaks "Jamaa alikufa akiwa na miaka 37 tu. Alianza kuongoza nchi akiwa na miaka 33.Huyu alikuwa kichwa haswa. Kuna speech aliongea kwenye mazishi ya Samora Machel,acha tu. Sankara ni real son of Africa. Yaani kuna sehemu nilikuwa nasoma hadi machozi yananitoka. Kweli wema hawadumu.
 
Sema tuu sankara alikua hajimwambafai
Nchi jirani wanatamani wapate Rais kama Magufuli.
kwa hili nikagundua Tanzania kupata Rais mfano wa Thomas Sankara a.k.a Che wa Africa ni bahati kubwa.
 
Ah ah ujue kuwa kenya walimyima kura odinga kwa kuwa aliahidi kuwafanyia aya anayoyafanya magu
Nchi jirani wanatamani wapate Rais kama Magufuli.
kwa hili nikagundua Tanzania kupata Rais mfano wa Thomas Sankara a.k.a Che wa Africa ni bahati kubwa.
 
Nilisoma kitabu kinaitwa "Thomas Sankara speaks "Jamaa alikufa akiwa na miaka 37 tu. Alianza kuongoza nchi akiwa na miaka 33.Huyu alikuwa kichwa haswa. Kuna speech aliongea kwenye mazishi ya Samora Machel,acha tu. Sankara ni real son of Africa. Yaani kuna sehemu nilikuwa nasoma hadi machozi yananitoka. Kweli wema hawadumu.

Hapo kwene nyekundu hapo.....!
Kumbe ina maana JPM anadumu kwa vile siyo mwema.!!!!
 
Back
Top Bottom