Askofu tuambie nani anafuata kwenye huo mduara?
Viongozi wa dini wachumia tumbo na kutafuta umaarufu wanapata tabu Sana.
Kama mmoja wa wabambikiaji lazima uongee maneno hayo.Viongozi wa dini wachumia tumbo na kutafuta umaarufu wanapata tabu Sana.
Hahahaaaaa Mwamakula ama Niwemugizi?
Bwanako kapewa miongo mitatu akiwa ngomeni. Naona umeamka na hasira kuandika hovyo hovyo kama taahira.mwanakondoo hawezi hkuwa kama hilo bwabwa acheni kuzihaki majina matakatifu