Hapa Tanzania vijana wao kutwa nzima nikuongelea Pombe, Mpira na Ngono na hapo wanasiasa uchwara wanapopata njia ya kuitawala hii nchi bila kufata misingi ya haki na utawala bora.
Hivyo basi...
Kwa jina la JMT, nawasalimu sana!
binafsi, nafasi ya waziri mkuu ni moja ya nafasi ninayoiheshimu sana na kuiogopa.......tangu nilipopata akili ya kufuatilia mambo ya siasa, mpaka sasa! nikisikia...
Kuna wakati unajiuliza hivi wapinzani wanajua wanachokitaka? Hupati jibu kabisa.
Mzee Lowassa kwenye kampeni 2015 alikuwa anasimama jukwaani anasalimia kisha anarejea kitini pake lakini akapata...
Na Deodatus Balile
Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa...
Wakuu,
Ni kuhusu huyu wanayemwita wakili msomi.. Yaani Peter Kibatala. Kila siku nasikia Kibatala, Kibatala. Tujuzane wakuu.
CV yake
Kashinda kesi ngapi?
Kashindwa kesi ngapi?
Tujuzane tumjue...
Rais Samia, wala usihofu, hatuoni wapi ambako viatu vya Hayati Magufuli vimekupwaya, unapodai eti havijakufaa hivyo viatu wakati tangu Mungu alipomtwaa Magufuli kila kitu kipo vile vile ndo kwanza...
Mama Anne Makinda,
Nimeona leo mahali unasema vyombo vya habari vimuache Pius Msekwa kwani kalitumikia taifa kwa muda mrefu na sasa ni mstaafu.
Mama Makinda, Pius Msekwa hajastaafu kutumia haki...
"Wenzetu wa CHADEMA wamekuwa wakitoa kauli za kuitaka mahakama kumuachia kiongozi wao, tunapenda kuwaambia kuwa mahakama haingiliwi,waiache ifanye kazi yake ya utoaji wa haki kama kiongozi huyo...
Kabla ya vyama sisi sote ni watanzania.
Moja ya imani za CCM ni kuwa binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
Tumefikaje huku kwenye kuuwana, kutekana, kutesana, kupotezana...
Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete Aishukuru Serikali ya Awamu ya 6 Kwa Kumwaga Mabilioni Halmashauri ya Chalinze
Mgawanyo wa fedha toka IMF Tshs. Trilioni 1.3. Halmashauri ya Chalinze...
Hali ndio kama mnavyoiona, kundi la akina mama limeomba kusajiliwa kidigital huko Shinyanga Mjini.
Uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba kesi ya uongo ya Ugaidi inayayomkabili Mwenyekiti wa...
Dodoma.Tanzania imeweka mkakati wa kuchanja watu 100,000 kila siku katika kukabiliana maambukizi ya Uviko -19.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Profesa Abel...
Habari JF
Wiki kadhaa zilizopita Serikali ilianzisha kampeni ya kuhakikisha maeneo yetu yanarejea katika hali nzuri kwa kuhakikisha kuwa wafanyabiashara maarufu kama wamachinga wanawekewa...
January Makamba kwa mtazamo wangu namuona ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani, ana busara, mtulivu, si mpenda sifa bali ni mchapa kazi, si mtu wa media sana na hakurupuki kataka maamuzi yake...
Samia akumbushwe kuwa mwaka 1997 aliyekuwa Rais wa Zambia Keneth Kaunda ambaye alihisi Chama chake kitatawala milele na kuwanyanyasa wapinzani wake alikamatwa na kuwekwa gerezani huko Zambia...
Taarifa ya mwendelezo wa mwenendo wa #COVID19 iliyotolewa na Wizara ya Afya inaonesha kuwa kwa wiki ya kuanzia Oktoba 16 - Oktoba 22, 2021 hakuna kifo kilichoripotiwa nchini
Taarifa hiyo...
Kama Mbowe angekuwa nje huo Moto wa Katiba Ungekuwa mkubwa sana na sijui nani angeuzima.
Mbowe ndie kiongozi pekee anayeweza kuubeba upinzani. Kwanza anabusara, Anaweza kuvumilia wanachama wake...
“Mhe. Rais Watuhumiwa wa Ugaidi tunanyimwa Haki. Ukonga, Segerea tupo 187. Tumewekwa jela toka 2013. Mhe. jela miaka 8 ni kuadhibiwa bila ya kuthibitika kosa. Wewe kama mkuu wa nchi tunaomba...