Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema fedha zitokanazo na Tozo ya miamala ya simu zina majukumu yake ikiwemo ujenzi wa Zahanati 220 vijijini.
Mkopo wa IMF ambao sehemu una riba nafuu na...
Huyo Tonny Blair tuko wengi tunamuona kama mzandiki fulani.
Alimuunga mkono Bush kuivamia Iraq kwa sababu za uongo eti kuna silaha za maangamizi wakati ni uongo.
Nchi nyingine za Ulaya zilisita...
Awali kulitokea taarifa kwamba Polisi wamezingira ofisi za kanda , lakini baadaye taarifa hiyo ilikanushwa , hivyo kongamano hilo liliendelea kama ilivyopangwa na kuhudhuriwa na wakina mama wengi...
Mheshimiwa rais,
Unabeba lawama za moja kwa dhulma na manyanyaso na uonevu waliofanyiwa na wanaoendelea kufanyiwa wamachinga katika zoezi hili onevu na kandamizi linaloendelea nchini dhidi yao...
Niwasalimu Wana jf popote mlipo, MOJA KWa moja kwenye hoja
Sio siri tena CHADEMA TZ mpaka mda huu tumepishana na jeshi la police tz , na waliotufikaisha hapa ni CCm kutumia vyombo vya dola kisa...
Akijibu maswali ya waandishi wa habari leo mjini Iringa msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema serikali ni sikivu ndio maana wananchi walipolalamikia tozo ilichukua hatua haraka ikitumia Uwezo...
Machinga wa Arusha wanajengewa sehemu ya biashara baada ya kuondolewa maeneo yasiyo rasmi. Hata kama hatumpendi Rais Samia kwa hili tumpongeze sana tu. Uongozi siyo maguvu, kelele na matusi bali...
Kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad kilichotokea Februari 17, Rais wa Tanzania ametangaza maombolezo ya siku tatu.
Maombolezo ya kitaifa yanaanza...
Baada ya kufungua daraja la juu la Kijazi sasa Rais Magufuli amewasili Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani tayari kabisa kwa kukifungua rasmi.
Watu ni wengi sana.
Up dates;
====
WAZIRI...
RASMI: BUNGE SASA NI IDARA YA IKULU
Zaidi ya asilimia 70 ya wabunge wote kwenye Bunge letu, wanatoka CCM. Kitendo cha MKATA UMEME kuwadhibiti wabunge hawa ni sawa na kudhibiti Bunge zima ili...
NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula, amesikitishwa kwa kusuasua kwa utekelezaji wa miradi ya shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wilayani Chato mkoani Geita.
-
Dk...
Huyu Kamanda wa juu wa Jeshi la Polisi anaitwa Zelothe Steven , alikuwa Ofisa wa juu wa Jeshi hilo na sasa ni Mwenyekiti wa ccm wa Mkoa .
Unadhani wakati wa upolisi wake alitenda haki lilipokuja...
Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amegawa vitambulisho vilivyoboreshwa kwa wamachinga wote vitakavyowawezesha kukopesheka na kuwafanya wafanye biashara zao popote pale
===
Unguja. Rais wa...
Baada ya ukimya na kutoonekana kwa JPM kama ilivyo kawaida yake, Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania, "Rais ni mzima bukheri wa afya na anachapa kazi Ikulu".
Naye Makamu wa Rais...
Matajiri wamiliki wa restaurant s kariakoo na wamiliki wa bodaboda na daladala walalamila biashara kuporomoka
Utafiti binafsi nilioufanya nikaongea na madereva daladala , bodaboda na wamiliki wa...
Kuna minong'ono naisikia huku korido fulani hivi kuhusu uwezo wa Wakili nguli mhe. Kibatala.
Wanabodi naomba tuorodheshe hapa kesi ambazo amewahi kushinda ili kuweka rekodi sawa.
Siyo zile...
Kawaida serikali hasa za kidemokrasia zinapenda sana kukopa. Wanakopa na kutumia watakavyo wakijua watakaolipa madeni ni wengine kabisa. Huu ni mfumo mbaya sana kama hakuna udhibiti.
Sasa kwa...
Asalam-alaikhoom Wana-JF!
Kwanza niwapongeze sana Rais SSH na Mkuu wa Mkoa Amos Makala kwa kusimamia zoezi la 'kuwapanga upya' wamachinga jijini, na kwa kusimamisha marufuku ya bodaboda na bajaji...
Hivi karibuni niliandika uzi huu:
https://www.jamiiforums.com/threads/bodi-ya-mikopo-elimu-ya-juu-heslb-wanatokaje-awamu-hii.1922083/
Hata hivyo Badru bado anajisifia kuwa walioangaliwa Zaidi...