Kongamano la Katiba Mpya la BAWACHA latikisa Jiji la Mbeya , watu wengi kama utitiri

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,563
217,866
Awali kulitokea taarifa kwamba Polisi wamezingira ofisi za kanda , lakini baadaye taarifa hiyo ilikanushwa , hivyo kongamano hilo liliendelea kama ilivyopangwa na kuhudhuriwa na wakina mama wengi mno !

CHADEMA NA WANANCHI , CCM NA POLISI

%23Pichani_ni_Bawacha_wa_Mbeya_mjini_wakiwa_kwenye_Kongamano_la_%23Tumehuru_ambalo_limefanyika...jpg

wanadai katiba mpya ya chadema? au?
kama ni katiba ya Tanzania wanapoteza muda wao bure, hadi mwaka 2035 kama watakuwepo.
 
Hiki chama bana!

Kinapitia mateso kibao,
Kesi kila kona,
Watu wake wanakamatwa kila siku.
Hakina hela za kuwapa watu wake,hakuna ubwabwa,hakuna kapelo wala fulani.ukitaka hivyo jinunulie,na watu kweli wananunua.
Mwenyekiti wake anatuhumiwa kuwapa watu watatu pesa Ili wakate miti kutoka Moro mpaka Iringa,
Anatuhumiwa kwa Ugaidi wa kutaka kuua viongozi,(Sabaya)
Anatuhumiwa kutaka kuchoma Sheli nchi nzima.
Hakiruhusiwi kufanya mikutano.

Baadhi ya viongozi wake wananunuliwa na kukiacha.

Lakini watu wanakipenda,wanakomaa nacho hivyohivyo.
Aisee ukisikia mahaba ndo haya sasa.
 
Mungu ibariki Chadema
 
Back
Top Bottom