kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,406
- 7,188
Huyo Tonny Blair tuko wengi tunamuona kama mzandiki fulani.
Alimuunga mkono Bush kuivamia Iraq kwa sababu za uongo eti kuna silaha za maangamizi wakati ni uongo.
Nchi nyingine za Ulaya zilisita ila Tonny Blair akawa kimbelembele na wakaiangamiza Iraq tokea uchumi, watu wake hadi miundombinu yake yote.
Hawakuridhika hadi kumnyonga kiongozi wake Sadam Hussein kwa kamba.
Baada ya kushindwa Uwaziri Mkuu huyu Tonny ana kampuni ya kupiga pesa kubwakubwa kiujanjajanja tu kwa kutoa hutuba na kulipwa.
Rwanda akapewa kazi na Rais Kagame kama mshauri wa kiuchumi. Yote uzandiki mtupu.
Akiwepo Magufuli asingethubutu kuleta uhuni wake eti kuitangaza vizuri Tanzania wakati in the first place wao wamejaribu kuitangaza vibaya.
Kwanza mama hajatujulisha rasmi jinsi huyu jamaa kapewa hiyo kazi na bei gani analipwa.
Wahuni hawa ni wengi, inafaa huu utawala wawe macho kuwaamini matapeli wa kimataifa vinginevyo tutapigwa hela nyingi na pia vigogo wapigaji wataleta wapigaji wa aina ya Tonny Blair kila siku kwa kupata cha juu.