CHADEMA acheni kujiingiza kwenye siasa za chuki kuelekea uchaguzi 2025

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,120
2,000
Unamsema vipi mtu ambaye hawezi kujitetea Kama Hayati Magufuli, Mkapa au Nyerere? Mimi binafsi Hawa watu siwadai Kama Mungu kashafanya hukumu yake waachwe wapumzike!!

Natoa angalizo tu kwa chadema kuelekea uchaguzi 2025 hasa Tundu Lissu na Mbowe wajitaidi kuepuka Mambo yafuatayo.

1: Acheni kumsema vibaya Hayati Magufuli maana mtu akishakufa hata umseme vipi wewe ndio utaonekana tatizo kwa watu waliokuwa wakimuamini

2: Achaneni na siasa za covid19 maana 90% ya watanzania wameikataa na nyie mnajua kabisa watanzania wengi asilimia kubwa hawana elimu ya kutosha hasa vijijini.

3: Tambueni kuwa adui yetu ni ccm Wala sio Polisi, Jeshi, Mahakama na Usalama wa Taifa Wala wananchi wa Nchi hii hivyo mkifanya siasa zenu pambaneni na ccm Polisi wakisumbua nendeni mahakamani kwa kushitaki Polisi aliyesumbua sio taasisi ya Polisi.

4: Tumeni timu ya wanasheria na wanachama wenye ushawishi majimboni na vijijini kutoa elimu ya uraia Kuna jinsi ya kupambana na uminyaji wa haki, Pia epukeni kuendesha chama kwa kutumia mitandao ya kijamii pekee nendeni field watu walipo.

5: Teteeni Watanzania wote wanapoonewa kemeeni uonevu sio tu wa wanachama Bali kwa watanzania wote mfano Mambo ya uvunjifu wa haki za binadamu, Ajari za barabarani wakemeeni watoa rushwa na wapokea rushwa maofisini na matrafiki wanachukua pesa na kusababisha Ajari zinazoweza kukwepeka.

6: Option ya kuingia barabarani kulinda uchaguzi 2025 iwe ndio namba moja iwapo katiba na tume huru haitapatikana kabla ya 2025.

7: Andaeni wenyeviti kila mtaa na Kijiji kuelekea uchaguzi 2024 wawe watiifu wasionunulika watu wote wanajua mnaonewa ila mkiwa karibu zaidi na watu watakuwa tayari kuwatetea.

Achani kumtukana Hayati Magufuli maana Kuna watu wengi nyuma yake wanaomwamini pia ikitokea mwanachama wa chadema kamsema vibaya toeni official statement ya kukanusha na ikiwezekana kumfukuza ndani ya chama.

Ni ushauri tu Magufuli alikuwa na mabaya yake lakini sio sahihi kumsema vibaya waacheni wakina Membe Msigwa na Ccm wengine ndio wamkashifu Hayati Magufuli.

Ni ushauri tu natoa Tundu Lissu, Mnyika, Mbowe mnaweza kuufanyia Kazi lasivyo ccm italitesa Sana hili taifa mpaka kiama!!
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,338
2,000
Acha kuisingizia chadema,siasa za chuki ni hizi👇😁😁😁
7654311.png
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,878
2,000
Kwanza ulitutangazia umejitoa kwenye siasa, hujawahi kusema lini ulirudi, huu ni unafiki wako wa kwanza.

Pili siasa za chuki za Chadema kwako ni zipi? hebu tuwekee mfano wake hapa tuuone, ukishindwa kujibu hili utakuwa unafiki wako wa pili.

Tatu, ni nani kati ya wale wanaobambikia wengine kesi, kuzuia chaguzi huru na haki, na wanaosema hata wasipochaguliwa wao ndio watatangazwa washindi, na wale wanaosema wanataka Katiba Mpya kama uhuru wao wa kutoa maoni lakini wanawekwa ndani, wanaofanya siasa za chuki?
 
Abul Aaliyah

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
5,117
2,000
Hv unadhan chama chakavu wanaweza kuachia madaraka hvhv hyo sahau,hata upate kura za kutosha amri ikitoka darin huwez toboa
Natoa angalizo tu kwa chadema kuelekea uchaguzi 2025 hasa Tundu Lissu na Mbowe wajitaidi kuepuka Mambo yafuatayo.

1: Acheni kumsema vibaya Hayati Magufuli maana mtu akishakufa hata umseme vipi wewe ndio utaonekana tatizo kwa watu waliokuwa wakimuamini

2: Achaneni na siasa za covid19 maana 90% ya watanzania wameikataa na nyie mnajua kabisa watanzania wengi asilimia kubwa hawana elimu ya kutosha hasa vijijini.

3: Tambueni kuwa adui yetu ni ccm Wala sio Polisi, Jeshi, Mahakanlma na Usalama wa Taifa Wala wananchi wa Nchi hii hivyo mkifanya siasa zenu pambaneni na ccm Polisi wakisumbua nendeni mahakamani kwa kushitaki Polisi aliyesumbua sio taasisi ya Polisi.

4: Tumeni timu ya wanasheria na wanachama wenye ushawishi majimboni na vijijini kutoa elimu ya uraia Kuna jinsi ya kupambana na uminyaji wa haki.

5: Teteeni Watanzania wote wanapoonewa kemeeni uonevu sio tu wa wanachama Bali kwa watanzania wote mfano Mambo ya uvunjifu wa haki za binadamu, Ajari za barabarani wakemeeni watoa rushwa na wapokea rushwa maofisini na matrafiki wanachukua pesa na kusababisha Ajari zinazoweza kukwepeka.

6: Option ya kuingia barabarani kulinda uchaguzi 2025 iwe ndio namba moja iwapo katiba na tume huru haitapatikana kabla ya 2025.

7: Andaeni wenyeviti kila mtaa na Kijiji kuelekea uchaguzi 2024 wawe watiifu wasionunulika watu wote wanajua mnaonewa ila mkiwa karibu zaidi na watu watakuwa tayari kuwatetea.

Achani kumtukana Hayati Magufuli maana Kuna watu wengi nyuma yake wanaomwamini pia ikitokea mwanachama wa chadema kamsema vibaya toeni official statement ya kukanusha na ikiwezekana kumfukuza ndani ya chama.

Ni ushauri tu Magufuli alikuwa na mabaya yake lakini sio sahihi kumsema vibaya waacheni wakina Membe Msigwa na Ccm wengine ndio wamkashifu Hayati Magufuli.

Ni ushauri tu natoa Tundu Lissu, Mnyika, Mbowe mnaweza kuufanyia Kazi.
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,120
2,000
Kwanza ulitutangazia umejitoa kwenye siasa, hujawahi kusema lini ulirudi, huu ni unafiki wako wa kwanza.

Pili siasa za chuki kwako ni zipi? hebu tuwekee mfano wake hapa tuuone, ukishindwa kujibu hili utakuwa unafiki wako wa pili.

Hakuna kitu kinanichefua Kama kuita watu Sukuma Gang

Kama mtu wa miaka 70 anarudi kwenye saisa itakuwa Mimi wa miaka 30?

Kwa sababu nafsi haijakubali kukimbia kwenye siasa nitapambana mpaka dadika ya mwisho!
 
Umma ukikusikiliza hakuna mtu ataweza kupambana na wewe watu watakuwa tayari kwa lolote utakalo waambia!!
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,878
2,000
Hakuna kitu kinanichefua Kama kuita watu Sukuma Gang

Kama mtu wa miaka 70 anarudi kwenye saisa itakuwa Mimi wa miaka 30?

Kwa sababu nafsi haijakubali kukimbia kwenye siasa nitapambana mpaka dadika ya mwisho!

Kuondoka kwa kelele halafu kurudi kimya kimya sio vizuri.

Mzee wa miaka 70 kuwa mnafiki hakuna maana na wewe kijana wa miaka 30 uige mfano wake.

Hata maandiko matakatifu yanasema wadhaifu hawataurithi ufalme wa Mungu.
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
9,038
2,000
Natoa angalizo tu kwa chadema kuelekea uchaguzi 2025 hasa Tundu Lissu na Mbowe wajitaidi kuepuka Mambo yafuatayo.

1: Acheni kumsema vibaya Hayati Magufuli maana mtu akishakufa hata umseme vipi wewe ndio utaonekana tatizo kwa watu waliokuwa wakimuamini

2: Achaneni na siasa za covid19 maana 90% ya watanzania wameikataa na nyie mnajua kabisa watanzania wengi asilimia kubwa hawana elimu ya kutosha hasa vijijini.

3: Tambueni kuwa adui yetu ni ccm Wala sio Polisi, Jeshi, Mahakanlma na Usalama wa Taifa Wala wananchi wa Nchi hii hivyo mkifanya siasa zenu pambaneni na ccm Polisi wakisumbua nendeni mahakamani kwa kushitaki Polisi aliyesumbua sio taasisi ya Polisi.

4: Tumeni timu ya wanasheria na wanachama wenye ushawishi majimboni na vijijini kutoa elimu ya uraia Kuna jinsi ya kupambana na uminyaji wa haki.

5: Teteeni Watanzania wote wanapoonewa kemeeni uonevu sio tu wa wanachama Bali kwa watanzania wote mfano Mambo ya uvunjifu wa haki za binadamu, Ajari za barabarani wakemeeni watoa rushwa na wapokea rushwa maofisini na matrafiki wanachukua pesa na kusababisha Ajari zinazoweza kukwepeka.

6: Option ya kuingia barabarani kulinda uchaguzi 2025 iwe ndio namba moja iwapo katiba na tume huru haitapatikana kabla ya 2025.

7: Andaeni wenyeviti kila mtaa na Kijiji kuelekea uchaguzi 2024 wawe watiifu wasionunulika watu wote wanajua mnaonewa ila mkiwa karibu zaidi na watu watakuwa tayari kuwatetea.

Achani kumtukana Hayati Magufuli maana Kuna watu wengi nyuma yake wanaomwamini pia ikitokea mwanachama wa chadema kamsema vibaya toeni official statement ya kukanusha na ikiwezekana kumfukuza ndani ya chama.

Ni ushauri tu Magufuli alikuwa na mabaya yake lakini sio sahihi kumsema vibaya waacheni wakina Membe Msigwa na Ccm wengine ndio wamkashifu Hayati Magufuli.

Ni ushauri tu natoa Tundu Lissu, Mnyika, Mbowe mnaweza kuufanyia Kazi.
Ccm na jeshi lao la polisi ndio wanaharibu mambo.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,998
2,000
Natoa angalizo tu kwa chadema kuelekea uchaguzi 2025 hasa Tundu Lissu na Mbowe wajitaidi kuepuka Mambo yafuatayo.

1: Acheni kumsema vibaya Hayati Magufuli maana mtu akishakufa hata umseme vipi wewe ndio utaonekana tatizo kwa watu waliokuwa wakimuamini
Hili mimi sina usemi. Ninachojua mwanasiasa anachotaka ni madaraka na hivyo yuko tayari kufanya chochote kwa ajili ya madaraka.

Ila kwangu mimi Magu was trashy na nitaendelea kusema hivyo kwasababu sina cha kupoteza.
2: Achaneni na siasa za covid19 maana 90% ya watanzania wameikataa na nyie mnajua kabisa watanzania wengi asilimia kubwa hawana elimu ya kutosha hasa vijijini.
COVID ipo na inaua. Ila kwa kawaida matibabu ni hiari ya mhusika. Kwenye hili elimu ni muhimu zaidi lakini siyo ahenda ya namna ya kulazimisha.

Kwanza Afya ni kitu kilichogubikwa na imani nyingi sana, na hivyo kila mtu huwa anajua akipata madhara ya kiafya anakimbilia wapi.
3: Tambueni kuwa adui yetu ni ccm Wala sio Polisi, Jeshi, Mahakanlma na Usalama wa Taifa Wala wananchi wa Nchi hii hivyo mkifanya siasa zenu pambaneni na ccm Polisi wakisumbua nendeni mahakamani kwa kushitaki Polisi aliyesumbua sio taasisi ya Polisi.
CDM kwasasa inaongozwa kwa mihemko, hawajali wanamshambulia nani na kwanini.

Kwasasa CDM wameshakosana karibia na kila taasisi. Ukiwakosoa tu hutaelewana nao.
4: Tumeni timu ya wanasheria na wanachama wenye ushawishi majimboni na vijijini kutoa elimu ya uraia Kuna jinsi ya kupambana na uminyaji wa haki.
CDM kwasasa inaendeshwa kama kitega uchumi cha wachache na kitu cha ajira. Watu wanaojitolea wanapungua kila siku, wengi wanataka malipo hata kama ni kwa kuchangisha wanachama.
5: Teteeni Watanzania wote wanapoonewa kemeeni uonevu sio tu wa wanachama Bali kwa watanzania wote mfano Mambo ya uvunjifu wa haki za binadamu, Ajari za barabarani wakemeeni watoa rushwa na wapokea rushwa maofisini na matrafiki wanachukua pesa na kusababisha Ajari zinazoweza kukwepeka.
Ni ngumu kwa CDM kutetea kitu ambacho wao hawana manufaa nacho. Wako tayari kuandamana kwaajili ya katiba mpya, tume huru ya uchaguzi au uchaguzi umeporwa au mgombea wao kaenguliwa lakini matatizo ya wananchi kama bei ya mazao, rushwa, ajira ni tatizo lako mwenyewe kwanza wao hawana matatizo hao maana viongozi wote wa CDM siyo masikini.
6: Option ya kuingia barabarani kulinda uchaguzi 2025 iwe ndio namba moja iwapo katiba na tume huru haitapatikana kabla ya 2025.
Kwasasa watanzania wamechoka. Ukitegemea wataingia barabarani kupigania maslahi ya mwanasiasa umapanga kushindwa.

CDM wameshapambana kuingiza watu barabarani zaidi ya mara 10 bila mafanikio.
7: Andaeni wenyeviti kila mtaa na Kijiji kuelekea uchaguzi 2024 wawe watiifu wasionunulika watu wote wanajua mnaonewa ila mkiwa karibu zaidi na watu watakuwa tayari kuwatetea.
Mpaka sasa CCM ndio wanamilik8 serikali za mitaa kwa 100% sasa hapa sijui unaongelea kina nani ?
Achani kumtukana Hayati Magufuli maana Kuna watu wengi nyuma yake wanaomwamini pia ikitokea mwanachama wa chadema kamsema vibaya toeni official statement ya kukanusha na ikiwezekana kumfukuza ndani ya chama.
In short, Magu is gone. Na hatasimama tena kugombea kwahiyo kumfanya agenda kupotea. Huyu Magu watuachie sisi tusio na vyama ndio tuteme nyongo.
Ni ushauri tu Magufuli alikuwa na mabaya yake lakini sio sahihi kumsema vibaya waacheni wakina Membe Msigwa na Ccm wengine ndio wamkashifu Hayati Magufuli.

Ni ushauri tu natoa Tundu Lissu, Mnyika, Mbowe mnaweza kuufanyia Kazi.
CCM wana machinery nzito ya uchaguzi kuanzia chini kabisa.

Serikali za mitaa, wanachama hasa wazee na wanawake, watendaji (hawa ndio wasimamizi wa chi i kabisa wa uchaguzi chini ya mDEDs ), walimu n.k

CCM imefunga ndoa na Dola maana hwlawatupani, hakuna mwenye cheo kikubwa jeshini anaestaaf akakoswa kazi zauRC, DC, bodi n.k.

Na je, CCM inaweza kutoka madarakani ?

Ukweli ni kwamba kuitoa CCM kwa kura haiwezekani. Labda siku wananchi wenyewe waamue kuitoa tena siyo kwa maandamano ya siku 2. Lazima watu waandamane miezi hata 5 ili shughuli za kiserikali zisimame, serikali ishindwe kujiendesha ianguke.

Na hili hutokea kwa kuwa triggered na aidha dini au kabila au kitu chenye uwezo wa kuunganisha watu wote.

Lakini kwa aina ya siasa za CDM ni ngumu maana haiwezekani waluguru wa Moro wanapambania chama mwanzo mwisho halafu mbunge wa viti maalumu kutokea Moro anakuwa mchagga Joyce Minja ripota wa ITV Moro.

Watu wanaona.

======

Yote kwa yote CDM wameshasema hawatashiriki uchaguzi mpaka ipatikane tume huru na katiba mpya.

In short, CDM is gone. Imebaki mihemko tu.
 
Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
2,992
2,000
Chadema hawashiriki uchaguzi wa 2024 wala 2025... Kinabaki chama kimoja rasmi, kwa mazingira ya Sasa Upinzani kushiriki uchaguzi ni kupoteza muda.

Wananchi ndio wanatakiwa kupambana kurudisha tena mfumo wa vyama vingi kama wanauhitaji, sio Chadema wala Chama kingine, inatakiwa ianzie kwa wananchi kama wanahitaji

Pia kumsena Magufuli sio dhambi, alikuwa Raus wa nchi hii, so ni sehemu muhimu ya historia yake, atasemwa na mtu yoyote, swaka la narehemu hasemwi labda kwa mtu binafsi

Maswala ya Covid nafikiri hayazungumzwi na Chadema Bali serikali ya Samia
 
Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,626

HATUUHITAJI KWAHIYO HAMNA HAJA YA KUUPAMBANIA WAENDE TU
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
44,433
2,000
Umma huu wanaopigwa na vyombo vya dola hadi kufariki na wengine kuachwa na vilema vya maisha? Kwa taarifa yako kila mtu anajua kwa sasa hakuna uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Na kinara wa tabia hiyo chafu ni huyo huyo Magufuli. Kwa sasa hakuna mtu atakuwa na muda wa kushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi, fuatilia hata uchaguzi huu wa marudio uone kama kuna hamasa yoyote.
ma ukikusikiliza hakuna mtu ataweza kupambana na wewe watu watakuwa tayari kwa lolote utakalo waambia!!
 
nuruyamnyonge

JF-Expert Member
Mar 18, 2014
4,251
2,000
CHADEMA wekezeni kwenye program zenye kuleta maendeleo kwa wananchi bila kuingiza siasa za chuki, punguzeni kususasusa haina afya kwenu.
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
17,080
2,000
Kwanza ulitutangazia umejitoa kwenye siasa, hujawahi kusema lini ulirudi, huu ni unafiki wako wa kwanza.

Pili siasa za chuki kwako ni zipi? hebu tuwekee mfano wake hapa tuuone, ukishindwa kujibu hili utakuwa unafiki wako wa pili.

Tatu, ni nani kati ya wale wanaobambikia wengine kesi, kuzuia chaguzi huru na haki, na wanaosema hata wasipochaguliwa wao ndio watatangazwa washindi, na wale wanaosema wanataka Katiba Mpya kama uhuru wao wa kutoa maoni lakini wanawekwa ndani wanaofanya siasa za chuki?
Huyo alishafika bei sasa hivi ndio anajifanya kutushauri,hapa mwendo mdundo. Kayafa alikuwa ni Sadist kwa hiyo anatakiwa kusemwa vibaya ili asijitokeze mtu wa kariba yake tena kupewa hata Uenyekiti wa Mtaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom