Nadhani Rais Samia atatupatia Katiba Mpya kabla hajaondoka Madarakani

Anna Nkya

Member
Oct 21, 2021
69
341
Rais Samia alisema tumpe muda ajenge uchumi kisha suala la Katiba Mpya litafuata. Hakulipuuza, alisema tumpe muda muda.

Naona sasa anakwenda vyema, hii awamu ya kwanza katika Urais wake (2021-2025) itatosha sana kujenga uchumi imara.

Naamini kama Mungu atatuweka hai, 2025 kwenye kampeni zake atatuambia kwamba tumchague na atatupa Katiba Mpya. Nina hakika atatekelza ahadi hiyo, na Rais atakayekuja baada yake atakuta katiba Mpya.

KUBWA HAPA NI UHAI, MUNGU AKITUJALIA UHAI NAAMINI ITAKUWA HIVYO. MUNGU AMPE AFYA NJEMA RAIS WETU SAMIA
 
Back
Top Bottom