Huyu shahidi anayechelewesha kesi ya Ole sabaya angekuwa yuko kwenye kesi ya Mbowe basi Chadema wangepiga kelele sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,377
138,536
Siyo kwamba nawabeza Chadema bali nawakubali kwa namna wanavyothubutu kupigania haki zao.

Fikiria kesi ya Ole sabaya Jamhuri ina zaidi ya mashahidi 20 lakini wamefikia shahidi wa 7 jamaa katangaza anaumwa na leo ni siku ya pili mfululizo eti kesi inaahirishwa hadi apone.
Peter Kibatala asingekubaliana na hizi figisu kabisa lazima shahidi wa 8 angepanda kizimbani.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Another senseless comment posted by the payee to justify the sums she gets from her payer to purchase the recharge voucher.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom