Alipoingia alisema hataki 'Mabango' sasa Kazoea Utamu wa 'Mercedes Benz' anasema yakusanywe yote ili yafanyiwe Kazi je, tumueleweje?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,918
Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.

Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.

Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.
 
Nimehisi hiyo hali imemtokea kulingana na eneo alilokwenda, linafahamika kiuhalisia ni ngome ya upinzani, hivyo ameona bora awe mpole ili akibebe chama chake na yeye binafsi kwa ajili ya 2025.
 
Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.

Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.

Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.
Kil mtu ana maamuzi yake.Kama wewe ni maamuzi yako,kuficha jina lako halisi,ukajiita gentamycine,badala ya gentamicine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.

Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.

Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.
Kigeu geu. Amepoteza direction kabisa
 
Umeanza kichwa cha habari vizuri umeharibu uliposema maua kuwekwa Chato.Hakuna asiyejua juhudi zilizofanywa na JPM katika harakati za maendeleo kwa nchi hii na Afrika kiujumla.Nadhani hata Nyerere huko alipo alifurahi sana na angependa miaka yote shughuli za Mwenge zihitimishwe Chato,Kwa heshima ya shujaa mwenzake wa Afrika.
 
Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.

Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.

Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.
Genta, never ever hate the player..utawahi kuhukumu kwa kukurupuka Kama ambavyo wew hupendi wengne wakikurupuka kwenye maamuz..hate the game
 
Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.

Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.

Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.
Unahangaika mzee,hivi huna kazi za kufanya unashinda unamfuatilia huyo mama au ni mke mwenzio mmechangia mme?
 
Back
Top Bottom