Jengo la ofisi ya CHADEMA Bunda lavunjwa

Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
309
1,000
Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.

Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.

Nataka kujua, huyu msaliti mkubwa anafikiri kufanya hivyo ndiyo njia ya kukisaidia CCM kibaki madarakani? Anafanya hivi ili iweze kumsaidia kitu gani yeye na familia yake? Bila kuwa DC ana nguvu ya kufanya huu upuuzi anaoufanya? Ni Wilaya ngapi nchi hii kuna ofisi za CHADEMA?

Huu USabaya una mwisho wake na Nassari usijione kiburi hutoachwa ni swala la muda tu. Leo hapo ulipo unavimba kwa sababu ya CHADEMA na wala hakuna ambaye angekuja wewe.

IMG-20211022-WA0025.jpg
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,820
2,000
Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.
Analipa fadhila ya kupewa udc kwa samia
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,522
2,000
Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.
Wapo makamanda uchwara wamepiga sementi yote naona mchanga mkavu tu hapo ,

Sema kipagale cha bavicha hela zote mbowe amelambia nyagi

USSR
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,788
2,000
Ukombozi umekaribia, ila ni lazima uambatane na maumivu na machungu mengi.

These events, are controlled by Power that is beyond human understanding.

Hata Wayahudi waliomsulubisha Yesu, hawakujua walitendalo kama ambavyo watawala wetu leo hii hawajui wayatendayo(sio kosa lao).

Wakati Wayahudi walifikiri wanamkomoa Yesu, watawala wetu wanafikiri wanaikomoa CHADEMA, kumbe wanatengeneza msingi wa anguko lao(it is ongoing process).

Sometimes siwalaumu sana kwani naamini wanafanya kile ambacho Power of Nature inahusika.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
21,500
2,000
Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.

Nataka kujua, huyu msaliti mkubwa anafikiri kufanya hivyo ndiyo njia ya kukisaidia CCM kibaki madarakani? Anafanya hivi ili iweze kumsaidia kitu gani yeye na familia yake? Bila kua DC ana nguvu ya kufanya huu upuuzi anaoufanya? Ni Wilaya ngapi nchi hii kuna ofisi za CHADEMA?

Huu USabaya una mwisho wake na Nassari usijione kiburi hutoachwa ni swala la muda tu. Leo hapo ulipo unavimba kwa sababu ya CHADEMA na wala hakuna ambaye angekuja wewe.

View attachment 1982957
CCM wameanza kumchonganisha. Hawezi kuwa na akili hizo
 
clap

Senior Member
Aug 3, 2013
166
225
Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.

Nataka kujua, huyu msaliti mkubwa anafikiri kufanya hivyo ndiyo njia ya kukisaidia CCM kibaki madarakani? Anafanya hivi ili iweze kumsaidia kitu gani yeye na familia yake? Bila kua DC ana nguvu ya kufanya huu upuuzi anaoufanya? Ni Wilaya ngapi nchi hii kuna ofisi za CHADEMA?

Huu USabaya una mwisho wake na Nassari usijione kiburi hutoachwa ni swala la muda tu. Leo hapo ulipo unavimba kwa sababu ya CHADEMA na wala hakuna ambaye angekuja wewe.

View attachment 1982957
Umeuliza sababu ya kubomoa au umeamua kumuhukum tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom