CHADEMA yaendeleza Mapambano , viongozi waanza ziara nchi nzima

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
89,597
2,000
Hii ndio kazi mpya kuanzia muda huu

John Mnyika yupo kanda ya Pwani

Katibu_Mkuu_wa_chama%2C_Kamanda_%40jjmnyika_leo_Ijumaa%2C_Oktoba_22_ametembelea_ofisi_za_Kanda...jpg

Kigaila yuko Karatu .

Naibu_Katibu_Mkuu_Bara_Mhe._Benson_Kigaila_akizungumza_katika_Mkutano_Mkuu_maalum_wa_Jimbo_la_...jpg

Ni mikutano ya ndani kwa ndani ambayo yanayoongelewa ni vigumu kuyajua na imesambaa nchi nzima mithili ya nzige kwenye shamba la mahindi .

Tuendelee kubaki hapa hapa Jf kwa Taarifa za Uhakika .
 
Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,629
2,000
Hii ndio kazi mpya kuanzia muda huu

John Mnyika yupo kanda ya Pwani

View attachment 1983218

Kigaila yuko Karatu .

View attachment 1983219

Ni mikutano ya ndani kwa ndani ambayo yanayoongelewa ni vigumu kuyajua na imesambaa nchi nzima mithili ya nzige kwenye shamba la mahindi .

Tuendelee kubaki hapa hapa Jf kwa Taarifa za Uhakika .
YAANI UNAJIPAGA KAZI NGUMU KUISIFIA HIYO CHADEMA NI SAWA NA KUCHUKUWA MAVI NA KUANZA KUYAOSHA KUWA YATANUKIA NEVER TAFUTA UPENZI MWINGINE SHABIKIA HATA MPIRA UTAPATA UGONJWA WA MOYO BURE NA HIYO CHAGADEMA YAKO
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
51,587
2,000
YAANI UNAJIPAGA KAZI NGUMU KUISIFIA HIYO CHADEMA NI SAWA NA KUCHUKUWA MAVI NA KUANZA KUYAOSHA KUWA YATANUKIA NEVER TAFUTA UPENZI MWINGINE SHABIKIA HATA MPIRA UTAPATA UGONJWA WA MOYO BURE NA HIYO CHAGADEMA YAKO
Mwache mwenzako ni haki yake kikatiba
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
3,993
2,000
Fanyeni mkutano mkuu muwafukuze covid 19 haraka
COVID 19 Wana baraka zote za uongozi wa juu, kumbuka hata mke wa John Mrema yupo humo! Zitapigwa danadana mpaka 2025 hakuna kitafanyika juu yao, kauli za kisiasa zinazotolewa na viongozi ni unafiki na kuwazuga tu wanachama
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,711
2,000
Hii ndio kazi mpya kuanzia muda huu

John Mnyika yupo kanda ya Pwani

View attachment 1983218

Kigaila yuko Karatu .

View attachment 1983219

Ni mikutano ya ndani kwa ndani ambayo yanayoongelewa ni vigumu kuyajua na imesambaa nchi nzima mithili ya nzige kwenye shamba la mahindi .

Tuendelee kubaki hapa hapa Jf kwa Taarifa za Uhakika .
Kwani ni KOSA Raia kwenda Mikoa hiyo?
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
9,033
2,000
Nyie walevi yawezekana nyie ndio watu wenye uduni mkubwa zaidi lakini mmestarehe kwenye upumbavu wa kushabikia ushenzi wa CCM. Fungukeni acheni kuridhika na umaskini wenu wa akili na mali.
Wana vibali vya polisi?

YAANI UNAJIPAGA KAZI NGUMU KUISIFIA HIYO CHADEMA NI SAWA NA KUCHUKUWA MAVI NA KUANZA KUYAOSHA KUWA YATANUKIA NEVER TAFUTA UPENZI MWINGINE SHABIKIA HATA MPIRA UTAPATA UGONJWA WA MOYO BURE NA HIYO CHAGADEMA YAKO

Wasome pgo kwanza wakimaliza wajekuzuia mikutano ya kisiasa.

Fanyeni mkutano mkuu muwafukuze covid 19 haraka

SIWEZI SHABIKIA CHAMA LA WAHUNI MAGAIDI WAUWAJI MTAFUTENI KWANZA BEN WANGWE

Huu upuuzi utaisha lini?

USSR

Huu mshituko nimeupata baada ya kuwa na project ya miezi 6 kwenye mikoa ya Morogoro na Katavi, kutokana na project hii nimekuja na mtazamo tofauti kabisa kuhusu kabila la wasukuma .
Mwanzoni nilijua wasukuma ni kabila la wavivu fulani waliojazana kanda ya ziwa tu kumbe siyo kweli kabisa. Nimegundua wasukuma aka akina Ngosha ni wachapakazi na wana umoja kupitiliza na wamejaa sehemu zote zenye fursa nchini!, nilipofika mkoa wa Morogoro kuanzia Ifakara hadi Malinyi madoni wenye maduka makubwa ni wasukuma na muda wote wanazungumza lugha ya Kisukuma tu.
Nilipoenda mkoa wa Katavi maeneo ya Mpimbwe kote huko madoni ni wasukuma wamekamata biashara zote kuanzia madukani hadi mashambani.
Nimegundua kuwachukia wasukuma ni kupoteza muda na kujitakia presha ya bure tu ,hamna namna utawashinda ,njia rahisi ni kuungana nao tu.

Nani tena anashindana na wasukuma?????
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom