Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
angellah.jpg

Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?

Kairuki ndani ya miaka 3:

Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Octoba 2017- Waziri wa Madini

Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.

Je, anahamishwa kama promotion au demotion?

Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!
 
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?

Kairuki ndani ya miaka 3:

Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Octoba 2017- Waziri wa Madini

Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.

Je, anahamishwa kama promotion au demotion?
Ukishaonja asali huna jinsi lazima ukubali kupelekeshwa
 
View attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?

Kairuki ndani ya miaka 3:

Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Octoba 2017- Waziri wa Madini

Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.

Je, anahamishwa kama promotion au demotion?

Sasa kama muda mwingi anautumia kuwaza kati ya Mkodishaji wa Gari isiyo halali yake na Mmiliki wa Gari halali yake atawezaje kuwa na Ufanisi kila anapopangiwa? Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Back
Top Bottom