Dhuluma mlizomfanyia Mbowe ipo siku zitawarudia. Hakuna aliyewahi mgusa Mbowe akabaki salama

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Huyu Mbowe huyu mtu asiyejua kutukana mtu, Mbowe ambaye hajawahi kumdhalilisha mtu, kuna mtu mstaarabu kama Mbowe hapa Tz

Mshawahi muona Mbowe akimtukana au kumchafua mtu?Mshawahi kumuona Mbowe akijikweza japo katokea familia ya kishua?

Mbowe ni gaidi? Haimake sense kabisa, Mbowe ana ugaidi gani jamani?Mbona mnamnyanyasa sana?

Naombeni niongee tu kibinadamu

-Mbowe ana moyo kama nyie

-Mbowe anahisi maumivu kama nyie

-Kibinadamu Mbowe ni baba na ana mke na watoto nani aisimamie familia yake?

-Ni upumbavu kumuweka mtu ndani kwa makosa ambayo ni ya uongo

-Nakwambia dhuluma mlizomfanyia Mbowe mungu atawalipa mchana kweupe

-Kwanza mliharibu mali zake, mkatuma dc mmoja akaharibu green house zake kule hai, hamkumchoka mkamuharibia biashara zake zote, mkaua bilcanas kila kitu mmeharibu

Basi hamkuridhika sasa mmempea kesi ya ugaidi....nyie ni binadamu gani aisee?hivi mna moyo ninyi....Ila Sirro weweOne day mungu atakulipa....You will pay for what you did....Ulitumwa na mwendazake leo yuko wapi

Na Mungu alivyo fundi hakuna alowahi mgusa Mbowe akabaki salama, jiulize Why,,, Mbowe ni Hai na Hai Mbowe mtaikuta na mtaiacha na jimbo litabaki tu la chadema

Mama nakushangaa sana, hivi inakuaje unakubali jambo hili linakutia doa utawala wako?Mama unaheshimika ujue, huko nje wanakukubali mnoo but kwa hili unajiharibia sana, unatengeneza maadui mama pls stop this kuna nafsi inaniambia labda hauna mkono katika hii kesi lakini pls can you stop this oppression?Ondoa huu ukandamizaji

Kwanini bado tunaruhusu makesi yaloanzishwa na mwendazake yazidi kulitonesha kidonda hili taifa?Mama plz makesi yenye asili ya mwendazake yapigwe chini pls hakua na utu yule

Mimi nitakua wa mwisho kuamini mbowe ni gaidi kwanza haimake sense na hakuna igp anayenisikitisha kama sirro ila hakuna marefu yasiyo na ncha

Mateso alopitia mbowe ni magumu, na still akavumilia huyu jamaa ana moyo wa kimwamba aisee mimi hata robo siwezi narudia I can't! Wamemtesa sana wamemfanyia kila hujuma ila mungu atalipa soon
 
Maneno yako yamenitia uchungu. Hakika, kama ilivyokuwa huko siku za nyuma, tutaiingia kwenye maombi makubwa kadiri iwezekanavyo kuomba tuondokane na utawala wa dhuluma, na tusimikiwe utawala wa haki.
 
Hata Sabaya anaumia kama anavyoumia Mbowe lakini Sabaya mlifurahia naye ana familia Tena ana mchumba mzuri kweli sasa nani atamuoa sasa ngoja gaidi ale mvua Mimi naenda kurithi mie wake tu kwahasira naenda kuoa miewake mbowe
 
Sirro badala ya kumkamata makonda ambae hata USA Wana ushahidi wa kuwanyima watu haki ya kuishi eti anamkamata mbowe kwa ushahidi wa kuokoteza
Mbowe kawafundisha walinzi wake waseme waliteswa wakati ni uongo wameumbuka wamemkaanga mbowe ushahidi wao unammaliza mbowe miaka 30 jela au kunyongwa
 
Huyu mbowe huyu mtu asiyejua kutukana mtu, mbowe ambaye hajawahi kumdhalilisha mtu, kuna mtu mstaarabu kama mbowe hapa Tz

Mshawahi muona mbowe akimtukana au kumchafua mtu?Mshawahi kumuona mbowe akijikweza japo katokea familia ya kishua?

Mbowe ni gaidi?Haimake sense kabisa, mbowe ana ugaidi gani jamani?Mbona mnamnyanyasa sana?

Naombeni niongee tu kibinadamu

-Mbowe ana moyo kama nyie

-Mbowe anahisi maumivu kama nyie

-Kibinadamu mbowe ni baba na ana mke na watoto nani aisimamie familia yake?

-Ni upumbavu kumuweka mtu ndani kwa makosa ambayo ni ya uongo

-Nakwambia dhuluma mlizomfanyia mbowe mungu atawalipa mchana kweupe

-Kwanza mliharibu mali zake, mkatuma dc mmoja akaharibu green house zake kule hai, hamkumchoka mkamuharibia biashara zake zote, mkaua bilcanas kila kitu mmeharibu

Basi hamkuridhika sasa mmempea kesi ya ugaidi....nyie ni binadamu gani aisee?hivi mna moyo ninyi....Ila sirro weweOne day mungu atakulipa....You will pay for what you did....Ulitumwa na mwendazake leo yuko wapi

Na mungu alivyo fundi hakuna alowahi mgusa mbowe akabaki salama,jiulize why,,,mbowe ni hai na hai mbowe mtaikuta na mtaiacha na jimbo litabaki tu la chadema

Mama nakushangaa sana, hivi inakuaje unakubali jambo hili linakutia doa utawala wako?Mama unaheshimika ujue, huko nje wanakukubali mnoo but kwa hili unajiharibia sana, unatengeneza maadui mama pls stop this kuna nafsi inaniambia labda hauna mkono katika hii kesi lakini pls can you stop this oppression?Ondoa huu ukandamizaji

Kwanini bado tunaruhusu makesi yaloanzishwa na mwendazake yazidi kulitonesha kidonda hili taifa?Mama plz makesi yenye asili ya mwendazake yapigwe chini pls hakua na utu yule

Mimi nitakua wa mwisho kuamini mbowe ni gaidi kwanza haimake sense na hakuna igp anayenisikitisha kama sirro ila hakuna marefu yasiyo na ncha

Mateso alopitia mbowe ni magumu, na still akavumilia huyu jamaa ana moyo wa kimwamba aisee mimi hata robo siwezi narudia I can't! Wamemtesa sana wamemfanyia kila hujuma ila mungu atalipa soon
Picha zitaongea

%E2%9C%8C%EF%B8%8F%E2%9C%8C%EF%B8%8F%E2%9C%8C%EF%B8%8F.jpg
No_Hate_No_Fear_on_Instagram%3A_%E2%80%9CUongozi_ni_kusikiliza.%E2%80%9D%22_.jpg
FB_IMG_1589397986327.jpg
Tutamtoa_Mkoloni_Mweusi_Soon_on_Instagram%3A_%E2%80%9CMwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_akisalimiana...jpg
 
Hata sabaya anaumia kama anavyoumia mbowe lakini sabaya mlifurahia naye ana familia Tena anamchumba mzuri kweli sasa nani atamuoa sasa ngoja gaidi ale mvua Mimi naenda kurithi miewake tu kwahasira naenda kuoa miewake mbowe
Kumlinganisha Mbowe na Sabaya ni kama kumlinganisha YESU na wale wahalifu wawili aliosulubishwa nao YESU alikuwa ni innocent, hakutenda kosa lolote ila walimtafutia kosa mpaka wakalipata. Ila alisulubishwa pamoja na wahalifu wawili ambao makosa yao yalikuwa wazi.
Mandela aliitwa gaidi na akafungwa jela miaka ishirini na saba. Bila shaka kama ungekuwepo kipindi hicho ungeungana na watawala wa kikoloni kusema kwamba Mandela alikuwa ni gaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom