Baada ya spana nzito kutoka kwa Lissu, vitambulisho vya wamachinga kuwekwa picha

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
4,085
2,000
Wakuu

Leo katika hotuba ya raisi bungen dodoma, amaeleza kuwa ataboresha vitambulisho vya wajasiriamali wadogo wadogo, Kwa kuweka jina, na picha

Hapo awali kitambulisho hakikuwa na kitu chochote lakin bunge lilipitisha bila hata aibu

Hii inaonesha ni namna gan bungen wanalala tu,

Vitambulisho vilikuwa vinauzwa huku mitaan havina hata majina, wala picha, wabunge wapo tu, hawasemi, hadi leo mh raisi kaona kasolo

Hakuna hata mbunge wa ccm aliyewahi kukosoa hili swala

Aisee

Hii ni baada ya Lissu kuponda vitambulishao
 
Attachments

 • IMG-20201112-WA0000.jpg
  File size
  59.5 KB
  Views
  0
 • File size
  3.3 MB
  Views
  4
 • File size
  3.3 MB
  Views
  5

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
6,444
2,000
Alafu watu wanasema upinzani ufe!! Hoja za Lissu na Chadema ndo zimetawala kwenye hotuba ya magufuli ya leo

1. Kukuza uchumi kwa kutegemea sekta binafsi

2. kuongezea watumishi mishahara

3. Kuweka picha na details za mtu kwenye vitambulisho vya machinga.

Lissu popote ulipo, pokea shukrani zangu. Sitajuta kukupigia kampeni na kukushabikia.

ipo siku lazima utaingia ikulu
 
Isayalussy11

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
579
1,000

Bado mna mna mawazo ya lissu kuingia ikulu! Mnavhekesha!,Maandamano tu mmemsaliti katimkia zake Ubelgiji! Kaona hamna maana ,mmebakia kubweka tu hapa JF!.
 
Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
2,633
2,000
Wee ndo hujui

Idea ya jina & picha ilikuwa ikijulikana na kusemwa kabla ya hata huyo msaliti hajachukua fomu ya kugombea
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
13,581
2,000
Lisu huyu huyu aliekimbilia kwa Amsterdam ndio alikuwa na spana?

Yani mtu kawapatia chadema mbunge 1 toka wabunge 60 na amepata 13% ndio alikuwa na spana?
 
Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
2,633
2,000
Alafu watu wanasema upinzani ufe!! Hoja za Lissu na Chadema ndo zimetawala kwenye hotuba ya magufuli ya leo

1. Kukuza uchumi kwa kutegemea sekta binafsi

2. kuongezea watumishi mishahara

3. Kuweka picha na details za mtu kwenye vitambulisho vya machinga.

Lissu popote ulipo, pokea shukrani zangu. Sitajuta kukupigia kampeni na kukushabikia.

ipo siku lazima utaingia ikulu
Hakuna cha hoja za Lisu

(Kukuza uchumi & mishahara) Hayo ni mambo ya miaka yote 'yanajulikana'
 
The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
6,561
2,000
Mission accomplished...

Lengo ilikuwa ni CCM kupitia M/kiti wao Taifa na kwa kutumia mamlaka yake ya URAIS kuibia masikini fedha zao kwa ajili ya kampeni ya chama chake kushinda kwa nguvu..

Imefanyika na imekamilika...

SASA;

Kama wanataka kuvifanya viwe rasmi, haitafuta jinai walioitenda. Lazima siku moja huko mbeleni kila mmoja aliyehusika, ahukumiwe...

Na ili kuvilasimisha, basi lazima jukumu la ukusanyaji kodi liachwe mikononi mwa taasisi zinazohusika hususani Mamlaka ya Mapata Tanzania (TRA)...

Rais kujihusisha moja kwa moja yeye katika masuala haya ni kuichafua taasisi ya Urais, na ameichafua kwelikweli ktk miaka hii mitano...

This is too bad and sad too to him...
 
Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,053
2,000
Wakuu

Leo katika hotuba ya raisi bungen dodoma, amaeleza kuwa ataboresha vitambulisho vya wajasiriamali wadogo wadogo, Kwa kuweka jina, na picha

Hapo awali kitambulisho hakikuwa na kitu chochote lakin bunge lilipitisha bila hata aibu

Hii inaonesha ni namna gan bungen wanalala tu,

Vitambulisho vilikuwa vinauzwa huku mitaan havina hata majina, wala picha, wabunge wapo tu, hawasemi, hadi leo mh raisi kaona kasolo

Hakuna hata mbunge wa ccm aliyewahi kukosoa hili swala

Aisee

Hii ni baada ya Lissu kuponda vitambulishao
kaoge kwanza
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
10,083
2,000
Wakuu

Leo katika hotuba ya raisi bungen dodoma, amaeleza kuwa ataboresha vitambulisho vya wajasiriamali wadogo wadogo, Kwa kuweka jina, na picha

Hapo awali kitambulisho hakikuwa na kitu chochote lakin bunge lilipitisha bila hata aibu

Hii inaonesha ni namna gan bungen wanalala tu,

Vitambulisho vilikuwa vinauzwa huku mitaan havina hata majina, wala picha, wabunge wapo tu, hawasemi, hadi leo mh raisi kaona kasolo

Hakuna hata mbunge wa ccm aliyewahi kukosoa hili swala

Aisee

Hii ni baada ya Lissu kuponda vitambulishao
Huyo Lissu ni poyoyo tuu, kaja kakuta vitambulisho Wala hakuwa na wazo la kuanzisha hivyo vitambulisho kaishia kupinga pinga tuu eti ndo spana, spana kapigwa Lissu Hadi kajipeleka kwa beberu lake kabla ya muda aliotuambia wa Dec 18.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom