Waziri Makamba, Tatua suala la kodi ya pango kupitia ununuaji wa LUKU

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,479
51,044
Mheshimiwa Waziri Makamba

Inavyoonekana vijana/watu waliotengeneza mfumo wa kulipia kodi ya jengo kupitia ununuaji wa LUKU walichokifanya, ni kukata pesa kupitia kila namba ya simu itakayonunua LUKU bila kujali namba hizo tofauti zinanunua umeme kwa ajili ya mita moja.

Mathalani kama Namba X ya simu inanunua umeme wa sh 10000 kwa ajili ya mita Y, na ikitokea mathalani namba nyingine Q ya simu nyingine ikanunua umeme mwingine wa sh 10000 kwa ajili ya mita hiyohiyo Q, Basi hapo mawili yatatokea.

Mfumo haukumbuki kuwa mita hiyohiyo moja ishalipiwa kodi ya jengo kupitia simu nyingine na kwa hiyo namba nyingine itakatwa kodi ya jengo za miezi kadhaa nyuma mpaka the last date simu hiyo nayo ilipotumika mara ya mwisho kununua umeme kwa ajili ya mita husika.

Kiufupi mheshimiwa, Mufumo huu wa kulipa kodi ya jengo, it seems search mechanism yake haibase kwenye namba ya mita ya LUKU husika, bali blindly unakata kwenye namba ya simu itakayoinunulia mita hiyo umeme at that particular time. Wakati kiutaalamu kabisa, ilipaswa kuwa yeyote ambaye angenunua umeme kwa ajili ya mita X, basi mfumo wa LUKU ulipaswa ukumbuke ili akishakatwa mmoja basi mwingine asikatwe tena.

Chukulia mfano leo ni October
Kama simu Y imeshakatwa 1000 lwa ajili ya mwezi, July, August, Sept, basi mteja akinunua umeme mwezi october atakatwa buku la mwezi october tu. Ila akija mtu mwingine mpya ambaye hajatumia simu yake kununulia umeme kwa miezi sita iliyopita, Atakatwa hela zote za july, august, sept na oct licha ya kuwa kuna mpangaji mwenzie tayari huwa anakatwa regularly makato ya buku mojamoja kila mwezi.

Sasa hii system ibadilishwe, ili iwe inakeep information by meter number na siyo individual phone number.

Kinyume cha hapo, mtakuja kuleta ugomvi baina ya kila mpangaji na mwrnye nyumba, maana kils mpangaji alikatwa buku mojamoja kivyavyake bila system kujiupdate kuwa meter fulani ishakatwa kupitia manunuzi ya mtu mwingine

Ili kuielezea point yangu: fanya experiment ifuatayo
Chukua simu mbili, moja ni ile ambayo unanulia umeme regularly kwa ajili ya mita X na nyinhine ile ambayo hujawahi kununulia umeme kwa ajili ya mita hiyo, kisha tumia namba hizo mbili kununulia mita hiyo umeme, uone makato yatakuwaje kwenye kila namba ya simu!
 
Kwangu hilo jambo halijawahi kujitokeza hata siku moja uwa tunanunua umeme kupitia simu (namba) tofauti tofauti lakini hilo halijawahi kujitokeza kabisa, hivyo siamini kama kuna tatizo kama hilo na jinsi ninavyowajua wabongo na wanavyoichukia hiyo kodi yenyewe kupitia kwenye luku basi kelele zingekuwa sio za kawaida.
 
Una uhakika na unachosema?
Naam nina uhakika 100%

Fanya experiment rahisi tu

Chukua simu mbili, moja iwe ni ile unayoitumia kununua umeme regularly, nyingine iwe ni ile ambayo hujaitumia kwa muda kununulia umeme, kisha uzitumie kununua umeme halafu utizame makato katika hizo simu mbili yakoje!
 
Hiyo naona ipo kwako tu lakini wacha TANESCO waje wajibu.
 
Mheshimiwa Waziri Makamba

Inavyoonekana vijana/watu waliotengeneza mfumo wa kulipia kodi ya jengo kupitia ununuaji wa LUKU walichokifanya, ni kukata pesa kupitia kila namba ya simu itakayonunua LUKU bila kujali namba hizo tofauti zinanunua umeme kwa ajili ya mita moja.

Mathalani kama Namba X ya simu inanunua umeme wa sh 10000 kwa ajili ya mita Y, na ikitokea mathalani namba nyingine Q ya simu nyingine ikanunua umeme mwingine wa sh 10000 kwa ajili ya mita hiyohiyo Q, Basi hapo mawili yatatokea.

Mfumo haukumbuki kuwa mita hiyohiyo moja ishalipiwa kodi ya jengo kupitia simu nyingine na kwa hiyo namba nyingine itakatwa kodi ya jengo za miezi kadhaa nyuma mpaka the last date simu hiyo nayo ilipotumika mara ya mwisho kununua umeme kwa ajili ya mita husika.

Kiufupi mheshimiwa, Mufumo huu wa kulipa kodi ya jengo, it seems search mechanism yake haibase kwenye namba ya mita ya LUKU husika, bali blindly unakata kwenye namba ya simu itakayoinunulia mita hiyo umeme at that particular time. Wakati kiutaalamu kabisa, ilipaswa kuwa yeyote ambaye angenunua umeme kwa ajili ya mita X, basi mfumo wa LUKU ulipaswa ukumbuke ili akishakatwa mmoja basi mwingine asikatwe tena.

Chukulia mfano leo ni October
Kama simu Y imeshakatwa 1000 lwa ajili ya mwezi, July, August, Sept, basi mteja akinunua umeme mwezi october atakatwa buku la mwezi october tu. Ila akija mtu mwingine mpya ambaye hajatumia simu yake kununulia umeme kwa miezi sita iliyopita, Atakatwa hela zote za july, august, sept na oct licha ya kuwa kuna mpangaji mwenzie tayari huwa anakatwa regularly makato ya buku mojamoja kila mwezi.

Sasa hii system ibadilishwe, ili iwe inakeep information by meter number na siyo individual phone number.

Kinyume cha hapo, mtakuja kuleta ugomvi baina ya kila mpangaji na mwrnye nyumba, maana kils mpangaji alikatwa buku mojamoja kivyavyake bila system kujiupdate kuwa meter fulani ishakatwa kupitia manunuzi ya mtu mwingine

Ili kuielezea point yangu: fanya experiment ifuatayo
Chukua simu mbili, moja ni ile ambayo unanulia umeme regularly kwa ajili ya mita X na nyinhine ile ambayo hujawahi kununulia umeme kwa ajili ya mita hiyo, kisha tumia namba hizo mbili kununulia mita hiyo umeme, uone makato yatakuwaje kwenye kila namba ya simu!
Wabongo kwa kulalamika bwana! Mliambiwa mkasajili laini itakayokuwa inakatwa kodi ya jengo. Na mliambiwa msipofanya hivyo, kila laini itakatwa. Kusajili hamjaenda, halafu mnakuja hapa mnajifanya mnaleta uzi.
 
kazi ya ICT solution ni kupunguza manual work siyo kuzirasimisha.

Wewe unafikiri watanzania wote wanaishi Dar es salaam ambapo huduma za kiserikali unapanda daladala moja/mawili unafika, unahudumiwa unaondoka!

Kwa hiyo unataka wapangaji let say watatu wasajili laini moja iwe ni special kwa ajili ya kununulia LUKU, Je mwenye Laini akihama?, Mwenye laini akisafiri, mwenye laini hiyo akifa hawa waliobaki wabaki gizani AU wajitose tu kununua umeme kwa laini zao kisha wakatwe kodi za nyuma ambazo tayari walishalipa anyway pindi waliponunua umeme kwa kutumia laini hiyo special?
 
Wataalamu wa IT bado sana, hivi hakuna namna ya kutumia algorithm itakayoweza gundua mita fulani ilishakatwa kodi na hivyo haiitaji kukatwa tena hata kama zitumike simu tofauti tofauti?,
Sijasoma computer programming, ila hii kitu sidhani kama inashindikana
 
Ni kitu rahisi sana, sema tu it seems wanataka shortcut.
 
Mimi naona ni Meter # ndo iko kwenye code. Nishanunua kwa namba tofauti tofauti lakini sijakutana na hilo tatizo.
 
Hili swala kodi ya jengo wangeachiwa halmashauri kupitia wenyeviti wa mitaa ndo wenye kujua kila mtaa wake unanyumba ngapi
 
kazi ya ICT solution ni kupunguza manual work siyo kuzirasimisha.

Wewe unafikiri watanzania wote wanaishi Dar es salaam ambapo huduma za kiserikali unapanda daladala moja/mawili unafika, unahudumiwa unaondoka!

Kwa hiyo unataka wapangaji let say watatu wasajili laini moja iwe ni special kwa ajili ya kununulia LUKU, Je mwenye Laini akihama?, Mwenye laini akisafiri, mwenye laini hiyo akifa hawa waliobaki wabaki gizani AU wajitose tu kununua umeme kwa laini zao kisha wakatwe kodi za nyuma ambazo tayari walishalipa anyway pindi waliponunua umeme kwa kutumia laini hiyo special?
Basi endelea kuteseka wakati unasubiria "IT Solution"
 
Back
Top Bottom