Mbunge wa Kibaha, S. Koka acha kuwahujumu maskini

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Unamiliki mali nyingi sana, unamiliki mashamba pori mengi sana lakini bado una tamaa ya kuendelea kuchochea migogoro ya mashamba na maeneo waliko wananchi kisa hayo maeneo yawe yako kwa nguvu.

Unatumia pesa na nguvu nyingi huku ukijificha nyuma ya watu fulani fulani na madalali ili usijulikane lakini tambua duniani hakuna siri.

Karibu 60% ya migogoro ya ardhi na mashamba makubwa makubwa wilaya ya kibaha wewe ndiye mhusika na hauachi kutajwa, kwanini? Kwanini wewe hutosheki bwashekeh? Hizi Mali zote unataka kuzifanyia nini Mangi?

Ni vizuri ifahamike kwamba, kwa Kibaha ili hii migogoro iishe wanatakiwa wakufate wewe kwani wewe ndiye king na kabaila uliye nyuma ya kila mgogoro Wilaya hiyo. Bado una mahekali ya mashamba yaliyoachwa kufuga nyoka na na fisi, hayaendelezwi miaka nenda rudi na yanachafua mji lakini bado huachi.

Mh. jitafakari sana, wananchi wako wanateseka sana kwa tamaa zako zilizovuka mipaka na kutokuwa na huruma na wananchi wenzio.

Nimeongelea ya Kibaha tu, Bwagamoyo na Chalinze nako wanakujua vizuri sana

Jumapili njema!✋✋
 
Huyo mbunge ni mwizi tu kama wezi wengine. Wananchi wa jimbo la Kibaha kwa ujumla wenu fanyeni mpango wa kumfungulia mashitaka huyo bwashee kusudi mahakama ithibitishe kama kweli hiyo ardhi yote inayosadikika kumilikiwa na yeye anaimiliki kihalali?
 
Yah!ana zalisha sana mayai ya kuku

Kuna wakati nlipataga deal zenji hotel moja

Nkajifanya naweza supply, nlimtafuta nlikaa

Chini nkamuonesha ramani akaikubali

Alinibeba,vitu vilienda poa sana

Anajua sana biashara

Ova
Katika maisha bila kubebana na connection huwezi toboa.
 
Yah!ana zalisha sana mayai ya kuku

Kuna wakati nlipataga deal zenji hotel moja

Nkajifanya naweza supply, nlimtafuta nlikaa

Chini nkamuonesha ramani akaikubali

Alinibeba,vitu vilienda poa sana

Anajua sana biashara

Ova

Mshikaji wake sana Rais Mwinyi ndo mana mchongo wako Zenji ulikwenda smooth mzee
 
Na wala siyo mchoyo wa connection

Uwe na deal iko mezani iko kwenye uwezo

Wake ukimpelekea mtaipiga vizuri tu na chako

Atakupaaa

Kibiashara jamaa yuko vizuri sana

Ova

Anabebwa Na Hussein Na alianza fanya biashara enzi za Mzee Ruksa sbb ya ushikaji wake na Hussein Mwinyi sbb walisoma wote Tambaza
 
Unamiliki mali nyingi sana, unamiliki mashamba pori mengi sana lakini bado una tamaa ya kuendelea kuchochea migogoro ya mashamba na maeneo waliko wananchi kisa hayo maeneo yawe yako kwa nguvu.

Unatumia pesa na nguvu nyingi huku ukijificha nyuma ya watu fulani fulani na madalali ili usijulikane lakini tambua duniani hakuna siri.

Karibu 60% ya migogoro ya ardhi na mashamba makubwa makubwa wilaya ya kibaha wewe ndiye mhusika na hauachi kutajwa, kwanini? Kwanini wewe hutosheki bwashekeh? Hizi Mali zote unataka kuzifanyia nini Mangi?

Ni vizuri ifahamike kwamba, kwa Kibaha ili hii migogoro iishe wanatakiwa wakufate wewe kwani wewe ndiye king na kabaila uliye nyuma ya kila mgogoro Wilaya hiyo. Bado una mahekali ya mashamba yaliyoachwa kufuga nyoka na na fisi, hayaendelezwi miaka nenda rudi na yanachafua mji lakini bado huachi.

Mh. jitafakari sana, wananchi wako wanateseka sana kwa tamaa zako zilizovuka mipaka na kutokuwa na huruma na wananchi wenzio.

Nimeongelea ya Kibaha tu, Bwagamoyo na Chalinze nako wanakujua vizuri sana

Jumapili njema!
Tupe mfano wa eneo alilohidhi dhahiri tujue ,ni lulanzi,pangani,kilimahewa au yombo ama sofu.
 
Yah!ana zalisha sana mayai ya kuku

Kuna wakati nlipataga deal zenji hotel moja

Nkajifanya naweza supply, nlimtafuta nlikaa

Chini nkamuonesha ramani akaikubali

Alinibeba,vitu vilienda poa sana

Anajua sana biashara

Ova
Kuna Ile baa kule njia ya kawe jina limentoka nayo yake pia
 
Na wala siyo mchoyo wa connection

Uwe na deal iko mezani iko kwenye uwezo

Wake ukimpelekea mtaipiga vizuri tu na chako

Atakupaaa

Kibiashara jamaa yuko vizuri sana

Ova
Aliwaigi Nipa mchongo wa kusaplai nyama ya mbuzi kwake mbona nlishindwa mie
 
Back
Top Bottom