Wanabodi, ninajua wengi tunashangaa sana imekuwaje mfanyabiashara na mwanasiasa Freeman Mbowe kufunguliwa kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi.
Ukweli ni kwamba, mwaka 2017 baada ya jaribio la kumuua Lissu kushindikana, target ya pili alikuwa ni Mbowe baada ya TISS kumshauri Magufuli, "mwengine atakayefanya usitawale kwa utulivu ni Mbowe". Magufuli alisema, "muueni tu" lakini Usalama wakamwambia, "hapana, italeta taswira mbaya kimataifa, huyu mfunge tu". Toka hapo mchakato wa kumfunga Mbowe ulianza na ilikuwa ukamilike mara tu baada ya Uchaguzi wa 2020. Rais Samia amekuta faili hilo likiwa juu kabisa mezani akiambiwa, "haya ni maamuzi ya Usalama wa Taifa". Samia angefanyaje? Mnadhani binafsi haumii kumuona binti wa Mbowe akilia kortini?