Ukaguzi wa ufanisi, viashiria vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Hujulikana kama Ukaguzi wa thamani ya Fedha unaofanyika katika Mifumo, Sera na Mipango mikakati mbalimbali ya Taasisi ili kuona kama kuna thamani ya Fedha na tija katika utekelezaji wake kwa kuzingatia;-

1. Uwekevu: Ni kupunguza gharama za Rasilimali zinazotumika katika shughuli kwa kuzingatia ubora unaohitajika

2. Ufanisi: Ni kiwango cha malengo yaliyofikiwa na uhusiano uliopo kati ya malengo yaliyokususdiwa na matokeo halisi yaliyofikiwa katika shughuli husika

3. Tija: Ni uhusiano uliopo kati ya matokeo yaliyopatikana kwa kuzingatia Bidhaa, Huduma na Rasilimali zilizotumika kuzalisha matokeo hayo.
 
Back
Top Bottom