Tumemaliza kuongea kuhusu Ben Saanane? Jambo gani limemfika?

Andrew Nyerere

Verified Member
Nov 10, 2008
3,010
2,000
Sakata la Ben Saanane linaendelea vipi? Amepotea baada ya kupelekewa msg ya vitisho kutoka kwa serikali according to Tundu Lissu.
Amejipoteza nwenyewe kwa sababu slikuwa na special assignment amepewa na chama chake,according to another source.
Why all this misinformation peddling?
Sasa kwa mfano ukiambiwa Katibu Mkuu wa Chadema alikuwa porini anatoa certificate kwa watu wamehitimu mafunzo, halafu ghafla miili sits ilipatikana maeneo hayo hayo. If you piece that information together, what do you get? Kwamba nilikuwa kuna party kule msituni ambayo ilikuwa interrupted?
Nilikuwa nasema gazeti la Mwananchi sasa hivi. Wameandika;
Miili sita ilionekana siku ya kwanza. Kesho take ukaonekana mwili mwingine.
Miili sita imezikwa pale in shallow graves,makaburi ambayo yanatambulika kwa nzi waliopo pale.
Mwili mmoja polisi wameondoka nao.
Halafu[this is interesting] OCD wa kule anasema wameipata hiyo miili lakini mpaka sasa hawajamkamata mshukiwa yoyote wa mauaji. PIA HAKUNA MLALAMIKAJI.
 
Haki sawa

JF-Expert Member
Oct 3, 2007
4,700
2,000
Sakata la Ben Saanane linaendelea vipi? Amepotea baada ya kupelekewa msg ya vitisho kutoka kwa serikali according to Tundu Lissu.
Amejipoteza nwenyewe kwa sababu slikuwa na special assignment amepewa na chama chake,according to another source.
Why all this misinformation peddling?
Sasa kwa mfano ukiambiwa Katibu Mkuu wa Chadema alikuwa porini anatoa certificate kwa watu wamehitimu mafunzo, halafu ghafla miili sits ilipatikana maeneo hayo hayo. If you piece that information together, what do you get? Kwamba nilikuwa kuna party kule msituni ambayo ilikuwa interrupted?
Hatujamaliza , labda kama wewe ndio umemaliza
 
Hilo la Msituni umemezeshwa propaganda ya kijinga as shamba la chama lipo mbali sana na Ruvu , usimeze uongo huo mzee wangu
 
Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
3,958
2,000
Mbona hujasema kuwa miili ilipookotwa na kuzikwa Harakaharaja kisha Waziri kudai ni miili ya Wahamiaji haramu?

What do you get?
Mtu kuikosoa Serikali,kutumiwa sms ya Vitisho,kupatikana kwa miili saba Ruvu,miili kuzikwa bila Uchunguzi kisha baadae kudaiwa ni ya Wahamiaji haramu?

Connect the dots then utapata jibu.

Kama CHADEMA ndiyo wahusika,Serikali kupitia Jeshi la Polisi lingefanya kila jitihada kutambua Ben yupo wapi ili kuondoa lawama kwamba wanahusika.
 
ZILLAHENDER MPEMA

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
2,057
2,000
Mkubwa lisaidie jukwaa letu kwa kutuwekea picha zinazoonesha "graduation ya msituni" namna katibu wa chadema alivyokuwa anatunuku Certificate kwa makomando waliohitimu mafunzo ya chama.
 
Andrew Nyerere

Verified Member
Nov 10, 2008
3,010
2,000
Yule mtu wa Chadema amesema'Mkinichinja basi,lakini hili jambo lazima niseme. Katibu wetu alikuwa Bagamoyo anagawa vyeti. Hao watu wslihitimu nini?katibu wetu mwenendo wake ulikuwa suspicious Halafu miili sita ilikuwa karibu na shamba letu kule. Shamba ambalo ni more or less abandoned. Najua nimesema hivi itakuwepo temptation ya kunichinja. Lakini ukinichinja haitafichika."
Haya mambo yanasemwa na watu huko Chadema.
Pia kuna internal memo Chadema kwamba swala la Ben Saanane lisizungumziwe na mtu wa Chadema.
 
Mr Alola

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
478
1,000
Hivi Tanzania hakuna organization inayohusika na maswala ya UCHUNGUZI wa matukio mazito kama hayo,?

Mfano kama WIKILEAKS..???
 
twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,059
2,000
Ukiona kimywa jua wenzake wanajua aliko...ninavyowafahamu chademaa wangekuwa wameishaandamana ktk hili.

Vipi Mbowi kaisharudi?
 
Mr Alola

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
478
1,000
Yule mtu wa Chadema amesema'Mkinichinja basi,lakini hili jambo lazima niseme. Katibu wetu alikuwa Bagamoyo anagawa vyeti. Hao watu wslihitimu nini?katibu wetu mwenendo wake ulikuwa suspicious Halafu miili sita ilikuwa karibu na shamba letu kule. Shamba ambalo ni more or less abandoned. Najua nimesema hivi itakuwepo temptation ya kunichinja. Lakini ukinichinja haitafichika."
Haya mambo yanasemwa na watu huko Chadema.
Pia kuna internal memo Chadema kwamba swala la Ben Saanane lisizungumziwe na mtu wa Chadema.
OK, interna memo ya CHADEMA inasema swala la BEN lisizungumziwe na mtu wa Chadema, vipi kwa Upande wa POLISI/

SERIKALI, na kwenyewe kuna interna memo ambayo haijaruhusu hilo suala lisichunguzwe ama kuliongelea kwa mtu wa SYSTEM?
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
50,954
2,000
Andrew unamjua Hanga yule mzanzibari aliyepotea kipindi cha mwalimu?

Ndio kama ben saanane anavyopotezwa sasa hivi.
So sad .
Ben ni class met wangu A level Galanos -Tanga.
You know how it pain.

Ila naamini kuwa siku yoyote tutamuona Ben akirudi
 
Polycarp Isaya Urio

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
2,008
2,000
Mbona hujasema kuwa miili ilipookotwa na kuzikwa Harakaharaja kisha Waziri kudai ni miili ya Wahamiaji haramu?

What do you get?
Mtu kuikosoa Serikali,kutumiwa sms ya Vitisho,kupatikana kwa miili saba Ruvu,miili kuzikwa bila Uchunguzi kisha baadae kudaiwa ni ya Wahamiaji haramu?

Connect the dots then utapata jibu.

Kama CHADEMA ndiyo wahusika,Serikali kupitia Jeshi la Polisi lingefanya kila jitihada kutambua Ben yupo wapi ili kuondoa lawama kwamba wanahusika.
Mtu mzm hatafutwi kama mtoto mdogo au mifugo iliyopotea kama taarifa ilishatolewa Polisi inatosha kwa sasa.Hiyo miili ilizikwa faster faster kitu ambacho si sahihi lkn waliofanya hivyo ni lay men.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom