Time rewind; Kisasi, hasira Mwenyekiti asiposimama imara atajua kuwa hajui

Giltami

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
892
1,232
Historia ni mwalimu bora sababu inaweza kukupa majibu ambayo sayansi ingechukua muda kuyapata.

Kila tukio lina Historia hakuna kinachotokea pasipo historia yani kila jambo lina mwanzo wake(chanzo chake).

Najiuliza hadi leo ni idadi ya watu wangapi(wabunge) wameondoka ndani ya CHADEMA ni zaidi ya watu ishirini,upeo na upepo wa walipoelekea wanaujua ndani ya chama kijani kama huna hela subili bahati ikuokoe ,wanajua kikwazo chao kikubwa ni mwenyekiti,

Kabla ya kukamatwa huko mwanza tizama alichowaambia wananchi kwamba wanatozwa kodi mara 2 double taxation kitu kisichokubalika kote duniani.huu ni uporaji wa wazi kwa kisingizio cha maendeleo.

Mwisho niseme kama ukirudisha muda nyuma utajua adui yako ni nani kibaya zaidi adui yako mwanaume anapokiwa ni mwanamke (silent killers) unakuwa na wakati ngumu sana.

Wanawake punguzeni speed basi maana hata huyo kigogo kule (tw) ni manzii.

b91db4d8-7615-4854-87e5-5cb083e20a45-MBO_AutoPed7.jpg
 
Back
Top Bottom