Mbowe amewahi kunyang'anywa gari ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani? Alirejeshewa lini?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Baada ya Dereva wa gari ya Mbowe Kustaafu kwa mujibu wa spika gari hiyo ilipokonywa kutokana na kukosekana kwa dereva ambaye aliaminiwa na pande zote mbili. Leo mahakamani inaelezwa gari hiyo ilienda Longido mwaka 2017 kumchukua shahidi wa pili: je kipindi hicho Mbowe alikuwa anatumia gari hiyo?

Lakini pia gari hiyo inadaiwa na shahidi wa pili kwamba ilifika huko Longido usiku ikiwa na plate number ya Kiongozi wa upinzani Bungeni KuB, je mwisho wakutumia plate number za Aina hii mtaani ni muda gani? Gari hizi zinatakiwa kupaki saa kumi na mbili au kabla ya hapo. Je, shahidi anataka kutuaminisha kwamba gari hii ilikuwa inatumika muda wote 24hrs?

Gari hizi Zina kitabu Cha kuweka kumbukumbu za safari kuonyesha maeneo dreva aliyotembelea kwa ajili ya uwekaji wa mafuta logbook, je kumbukumbu za safari za gari hizi uhifadhiwaje?

Lakini pia huyu mtu kipindi hicho alikuwa ameshapambana na dola muda mrefu, je hakuna aliyeona gari hiyo ikielekea Longido usiku? Ulinzi ulikuwaje endapo aliuwa huru kutumia gati usiku kwa issue binafsi?

Huu ushahidi mbona nao una matege mengi na makengeza?
 
Anyway, whatever the case; kilichokusudiwa hapo ni kuonesha Mbowe akiwa KUB alikuwa na matumizi mabaya ya usafiri aliopewa na bunge kwa ajili ya shughuli zake za kibunge.

Binafsi sidhani kama hili lina umuhimu kwenye kesi, sababu kama mahakama ikiamini Mbowe alikwenda huko na gari la bunge, na pakawa na ulazima wa kutoa ushahidi huo; basi ni wao ndio watakaokuwa na dhumuni la kupeleka ushahidi huo mahakamani, "he who alledges must prove", hili sio jukumu la upande wa utetezi.
 
Kesi ya kubumba shahidi wa kutengeneza...bado Mahita apande tusikie story za lutunga....uongo hauwezi kuuzika ukweli never ....kudanganya kwa muda tu ...ila ukweli utashinda
 
Baada ya Dreva wa gari ya Mbowe Kustaafu kwa mujibu wa spika gari hiyo ilipokonywa kutokana na kukosekana kwa dreva ambaye aliaminiwa na pande zote mbili. Leo mahakamani inaelezwa gari hiyo ilienda Longido mwaka 2017 kumchukua shahidi wa pili: je kipindi hicho Mbowe alikuwa anatumia gari hiyo?

Lakini pia gari hiyo inadaiwa na shahidi wa pili kwamba ilifika huko Longido usiku ikiwa na plate number ya Kiongozi wa upinzani Bungeni KuB,je mwisho wakutumia plate number za Aina hii mtaani ni muda gani? Gari hizi zinatakiwa kupaki saa kumi na mbili au kabla ya hapo. Je shahidi anataka kutuaminisha kwamba gari hii ilikuwa inatumika muda wote 24hrs?

Gari hizi Zina kitabu Cha kuweka kumbukumbu za safari kuonyesha maeneo dreva aliyotembelea kwa ajili ya uwekaji wa mafuta logbook, je kumbukumbu za safari za gari hizi uhifadhiwaje?

Lakini pia huyu mtu kipindi hicho alikuwa ameshapambana na dola muda mrefu, je hakuna aliyeona gari hiyo ikielekea Longido usiku? Ulinzi ulikuwaje endapo aliuwa huru kutumia gati usiku kwa issue binafsi?

Huu ushahidi mbona nao una matege mengi na makengeza?
Shahidi mwenyewe ndio huyu! Nyoko kweli nyie CCM

IMG-20211027-WA0037.jpg
 
Unatuchosha na vimaswali vyako mbuzi. Nenda kawe advocate huko mahakamani
 
Back
Top Bottom