Ni wakati sahihi wa Manji kumburuza Makonda Mahakamani

Manji alikua mwizi, hana sababu ya kutetewa.

Ni serikali zetu hizi dhaifu ingekua nchi za watu manji alipaswa kufilisiwa na kufungwa maisha.

Manji ameibia taasisi nyingi sana za umma kupitia kampuni zake magomashi.

Manji ana kesi mahakamani ambapo zaidi ya taasisi za umma 7 zinamdai zaidi ya bilioni 100, TRA, TPA,, REA, TANESCO, TBS, EWURA nk.

Manji alikua anatorosha mizigo bandarini bila kulipia ushuru, kupewa pesa na kutokutoa huduma.

Ndio maana walipotaka kumshughulikia vizuri akakimbia nchi. Juzi hapa akarudi akijua kesi zake zitafutwa, alipoona hakuna uwezekano akakimbia tena.

Hapa aliporudi ndio alitakiwa akamatwe, serikali dhaifu ya awamu ya sita ikamuachia akaondoka mchana kweupe jua limewaka.
 
Hii ngoma itajibalansi tu 😂😂😂 unadhani haya madude yanaishia upande mmoja tu......

Ni muda tu jua litachomoza tena.....
 
Ndugu Yusuf Mehboub Manji, Bwana Makonda alikuchafua sana na harakati zako za kumpeleka kwenye vyombo vya sheria ziligonga mwamba kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wako. Ila sasa upepo unaruhusu. Ni muda wa kutafuta haki yako iliyotaka kupotea.

Wasalaam!
Angeweza kuungana na Riz na yule tajiri wa NAS HAULIERS ingekuwa poa sana wangemkomesha tatizo kwa Riz hawezi pale Kuna Ghalib (GSM) ambae ameishika Yanga na Manji anataka kuharibu Mambo ya Ghalib pale Yanga ndio maana aliporudi wakamfix kesi takukuru wakampa choice akimbie asirudi kusumbua watu😃😃
 
Angeweza kuungana na Riz na yule tajiri wa NAS HAULIERS ingekuwa poa sana wangemkomesha tatizo kwa Riz hawezi pale Kuna Ghalib (GSM) ambae ameishika Yanga na Manji anataka kuharibu Mambo ya Ghalib pale Yanga ndio maana aliporudi wakamfix kesi takukuru wakampa choice akimbie asirudi kusumbua watu
Watu wanasema nyuma ya GSM yupo Manji. Kwahiyo GSM na Manji ni kitu kimoja.
 
Chondechonde huyu makonda atafutiwe kesi hata ya defamation jamani viipiii? Kina riziwani,gwajima,mbowe mloitwa wauza unga!!
Nayeye atozwe bilioni 6 au akae ndani kama 7ya iwe funzo
 
Back
Top Bottom