Tundu Lissu: Seth na Rugemalila wapo jela kwa kuonewa

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Nilishawahi kusema "Tundu Lissu wa kabla ya 2015 akikutana na Tundu Lissu wa baada ya 2015 watauana.Tundu Lissu wa kale alishangaa kwanini Serikali haiwafungi akina Seth na Rugemalila hadi Mnyika akamwita JK "dhaifu".

Huyu Lissu wa sasa bila shaka akipewa jukwaa atasema bila kupepesa macho kuwa "escrow" ni hela safi.Kuna usemi unasema "hakuna mkate mgumu mbele ya chai" namuona Lissu kalainika kama mkate uliolowekwa ndani ya kikombe cha chai.

Siku zinaenda kasi sana
 
Hivi hapa umeandika nini we jamaaa,
 
So what?
 
Hivi hapa umeandika nini we jamaaa,
Kuandika nnya ya kiumbe huyu, Borani
1627833770433.png
 
Ndugu zangu,

Nilishawahi kusema "Tundu Lissu wa kabla ya 2015 akikutana na Tundu Lissu wa baada ya 2015 watauana.Tundu Lissu wa kale alishangaa kwanini Serikali haiwafungi akina Seth na Rugemalila hadi Mnyika akamwita JK "dhaifu".

Huyu Lissu wa sasa bila shaka akipewa jukwaa atasema bila kupepesa macho kuwa "escrow" ni hela safi.Kuna usemi unasema "hakuna mkate mgumu mbele ya chai" namuona Lissu kalainika kama mkate uliolowekwa ndani ya kikombe cha chai.

Siku zinaenda kasi sana
Yes wanaonewa, kama wangefunguliwa mashtaka pamoja na Jk, Mwanasheria mkuu wa awamu ya 4, mawaziri nk ingekuwa sahihi...hiyo serikali iliwasafisha kuwa pesa ni zao inakuwaje leo wawe ndani?
 
Ndugu zangu,

Nilishawahi kusema "Tundu Lissu wa kabla ya 2015 akikutana na Tundu Lissu wa baada ya 2015 watauana.Tundu Lissu wa kale alishangaa kwanini Serikali haiwafungi akina Seth na Rugemalila hadi Mnyika akamwita JK "dhaifu".

Huyu Lissu wa sasa bila shaka akipewa jukwaa atasema bila kupepesa macho kuwa "escrow" ni hela safi.Kuna usemi unasema "hakuna mkate mgumu mbele ya chai" namuona Lissu kalainika kama mkate uliolowekwa ndani ya kikombe cha chai.

Siku zinaenda kasi sana

Kwani Seth na Rugemalila wamefungwa au wako gerezani kwa uonevu? Ilitakiwa wafungwe na mahakama baada ya wote walioshirikiana nao huko serikalini kukwapua fedha za umma kukamatwa. Kuna wakati Rugemalila aliitaka mahakama imtakake gavana wa bank atoe majina ya watu wa serikalini waliochukua mgao wa escrow. Mahakamaa ilishindwa kumtaka gavana afanye hivyo, hadi sasa wako magereza wakilazimishwa kutoa hela ili waachiwe. Seth kakubali maana hana uwezo wa kuvumilia mateso wakati wana ccm waliokula zile hela wanakula upepo mwanana.
 
Siku hizi umekuwa kijana mwenye jazba badala ya hoja

Ficha ujinga wako. Kila mtu anashangazwa na muda waliotumia kukaa rumande. Wewe unaona ni sawa? Kesi zao zilisikilizwa wakapatikana na hatia? Lini? Kwa nini ichukuwe muda mrefu namna hiyo?
 
Magufuli kazi yake ilikuwa ni kusondeka watu ndani ili ukiwa muoga umpatie pesa akuachilie huru, yani alikuwa anakuuzia uhuru.

Yeye kapiga dili za kutosha na kafa bila kufaidi "Loot" zake. Nilikuwa najaribu kufuatilia kwenye texts mbalimbali nikakuta Tanzania ndio nchi inayoongoza Afrika kwa kuwa na makosa mengi yasiyo dhaminika.

Bila shaka lengo kuu la Tanzania kufanya hilo ni kulenga kuwakomoa wapinzani pale wanapo wabambikia kesi wasipate dhamana, hamna sababu yoyote ya maana kuweka hizi sheria za kipumbavu pumbavu namna hii.
 
Ndugu zangu,

Nilishawahi kusema "Tundu Lissu wa kabla ya 2015 akikutana na Tundu Lissu wa baada ya 2015 watauana.Tundu Lissu wa kale alishangaa kwanini Serikali haiwafungi akina Seth na Rugemalila hadi Mnyika akamwita JK "dhaifu".

Huyu Lissu wa sasa bila shaka akipewa jukwaa atasema bila kupepesa macho kuwa "escrow" ni hela safi.Kuna usemi unasema "hakuna mkate mgumu mbele ya chai" namuona Lissu kalainika kama mkate uliolowekwa ndani ya kikombe cha chai.

Siku zinaenda kasi sana
Kwani uongo?
 
Back
Top Bottom