Mukua
Senior Member
- Sep 30, 2021
- 156
- 202
Nime msikia mh James Mbatia akitaka vyama vya ushindani Kama sio upinzani kuungana ili kuking'oa CCM kwenye uchaguzi wa 2025.
Hili ni Jambo jema , lakini kwa kuusema ukweli viongozi wa vyama hivyo ukiindoa CHADEMA na ACT ni wanafiki na waroho wa madaraka ni watu wasio na msimamo kabisa, na mara zote wamekuwa wakitafuta umaarufu kwa kupitia hasa nyayo za CHADEMA.
Kwa upande wa wanachama Kama CHADEMA wakifanya ushirikiano na ACT wingi wa wanachama wao unaweza ku karibiana kabisa na wa CCM , na hata Kama CCM wakizidi ni kwa kiasi kidogo ambacho Wana weza kushinda nao kwa njia ya ushawishi kwenye sanduku la kura.
Hivyo basi kuungana na akina Mbatia na hao ndumila kuwili wengine ni kupoteza muda tu.
Mbatia Kisha poteza mvuto hata kwa wananchi wa vunjo.