TANROADS: Miradi yote iliyoasisiwa na hayati Magufuli itakamilika kwa wakati likiwemo daraja la Busisi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,914
141,864
Tanroads wamesema miradi yote ya miundombinu ya barabara na madaraja iliyoasisiwa na hayati Magufuli itakamilika kwa wakati kwa sababu rasilimali zote zinazohitajika zipo ikiwa ni pamoja na uwepo wa makandarasi bora.

Tanroads wamesema hayo wakati wakikagua ujenzi wa daraja la Busisi uliofikia 36%

Source: Star tv
 
Back
Top Bottom