Je, Mbowe akishinda kesi anaweza kudai fidia kwa kudhalilishwa na kuitwa gaidi kama alivyofanya Membe kwa Musiba?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,506
141,232
Hili ni swali kwenu wanasheria

Je sheria inatoa mwanya kwa Freeman Mbowe kudai fidia ya kuchafuliwa kwa kuitwa gaidi endapo mahakama itamkuta hana hatia na kumtamka kuwa ni mtu safi?

Jumaa kareem!
 
Majaji wanateuliwa na Rais (Jamhuri), Boss wao ni Rais.

Kesi ya Mbowe ni VS Jamhuri.

Hata kama Mbowe atadai fidia. Majaji wataweza kumuamrisha Bosi wao amlipe Mbowe fidia?
 
Hanaga muda na wapuuzi, umaskini ni kitu kibaya sana. mbowe ni tajiri wa Mali moyo! Hana visa vya kimaskini kaama akina Kingai! Ambao wamekimbilia kuwa Polisi ili waweze kuendesha maisha
 
Natamani kujua endapo sheria zetu zinaheshimu utu na uugwana. Kuwajibisha pande zote damage inapobidi.
 
Hata katiba haisemi namna hiyo. Yeye ni mshukiwa Sheria zetu haziruhusu kudai hasa unapo shitakiwa na jamuhuri.
 
Siwezi kuwa mwongo Hilo sijawahi kulifahamu kiundani.
hii inakuwa pale unamfungulia mt mashitaka japokuw unajua hayo makosa uliomshitaki nayo hajayafanya..kwahy mt akifanyiw hiv anawez kudai fidia kutokana na hasara alizozipata wakat wa uendeshaji wa mashtaka yale kam kupotezewa muda wake,kufukuzwa kazi pamoj na kuharib reputation yake ktk jamii..
 
Baba yake Mbowe aliisaidia serikali ya Nyerere naona serikali hii ya ccm haina fadhila mama..e


lunatic
 
hii inakuwa pale unamfungulia mt mashitaka japokuw unajua hayo makosa uliomshitaki nayo hajayafanya..kwahy mt akifanyiw hiv anawez kudai fidia kutokana na hasara alizozipata wakat wa uendeshaji wa mashtaka yale kam kupotezewa muda wake,kufukuzwa kazi pamoj na kuharib reputation yake ktk jamii..
Ndio maana huwa unasikia baadhi ya wananchi wanasema ni heri kuwe na mchakato was kubadili sheria na wengine wameenda mbali wanasema katiba ifanyiwe marekebisho.

Hasara haikutajwa kwa anaeshitakiwa na jamuhuri. Toka uishi hapa to ulisha sikia nguli yoyote akiidai serikali kwasababu aliwekwa mahabusu kwa kosa la bahati mbaya. Wengine walisha tumikia kifungo, hiyo ndio ilivyo.
 
Ndio maana huwa unasikia baadhi ya wananchi wanasema ni heri kuwe na mchakato was kubadili sheria na wengine wameenda mbali wanasema katiba ifanyiwe marekebisho. Hasara haikutajwa kwa anaeshitakiwa na jamuhuri. Toka uishi hapa to ulisha sikia nguli yoyote akiidai serikali kwasababu aliwekwa mahabusu kwa kosa la bahati mbaya. Wengine walisha tumikia kifungo, hiyo ndio ilivyo.
Anae shitakiwa ni yule allie enda kumkamata na ndie atakae daiwa fidia kama yeye na si kazi anayo fanya wala jamuhuri.
 
Kesi ya jinai hii utamshtaki na utamdai nani? Jamhuri ni nani?
Nitofauti na ya mvutabangi msiba
 
Back
Top Bottom