kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Moja viongozi wakisiasa mwenye uwezo mkubwa wakujenga hoja, asiyeamaki, mwenye kuheshimu utu ni Mbowe.
Hana kisasi na achoki kufundisha pale anapopata nafasi. Hotuba zake zote anazotoa wakati chama kikiwa matatani zimekuwa zikiwarejeshea imani wanachana na kupata tumaini jipya.
Hotuba ya kwanza ngumu kwake ni wakati Zito na wenzake walipoondoka Chadema, vijana na Wazee wa Chadema waliibuka adharani kuwatusi na kuwatukana lakini yeye alipotoka mafichoni na kuzungumza akiongozana na Dr. Slaa kila mtu alielewa wazi kwamba tatizo lilikua si Chadema Bali tatizo lilikua baadhi ya viongoz kuwakwa tamaa ya madaraka. Pamoja na mpasuko ila chama kilirudi pamoja
Hotuba ya pili Ni siku anampokea Lowasa, watu wengi hawakubaliana na uamuzi wa chama, yeye alipozungumza alibadili upepo na watu wakaingia mtaani wakiwa na hari ya mabadiliko.
Dr. Slaa alipoondoka pia hotuba yake ilijaa busara bila kumshambulia Wala kumdhalilisha Dr.Slaa, aliapriciate kazi ya Dr ndani ya Chadema nakumtakia kila la heri.
Miaka mitano ya kuunga juhudi mkono pia wakati wote amekuwa calm na mwenye kuonyesha njia bila kupoteza wanachama.
Issue ya akina Mdee pia, amewaelezea Kama dada,mama na hata wanawe. Amezungumza kuonyesha anathamini kazi yao na hakutegemea wangemgeuka. Ameonyesha bado anawahitaji.
Viongoz wengine wakisiasa wanachokosea nikupambana na yule aliyehasi, kumwona siyo binadamu na Hana thamani.
Angalia wenyeviti wa vyama vingine huwa wanareact vipi wakipata msukosuko wakisiasa....baadhi wanawatengenezea wenzao Hadi kesi ngumu kisa tu mtu kakupinga.
Nampongeza Mbowe, natamani aandae vijana wa kariba yake katika uongozi na asichoke kuwaibua