Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,689
- 218,192
Baada ya kumaliza shughuli ya kumbukumbu ya Mwl Nyerere kule Butiama kwa mafanikio makubwa, Vijana wa Bavicha wanaendelea na kazi ya Kitume ya kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi ambapo leo wameingia Jimbo la Magu na Kukumbana na Umati wa wananchi ukiwasubiri kwa kishindo.
Maneno matupu hayavunji mfupa, hebu jionee mwenyewe.
Maneno matupu hayavunji mfupa, hebu jionee mwenyewe.