Tume ya Uchaguzi tangazeni kuanza kwa kampeni ili mwaka 2025 iwe ni kuchukua fomu tu

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,085
4,881
Naona kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza kwa kasi chama tawala CCM kimeshateua mgombea wake na safari hii "wanaume no kugombea" ni zamu ya wanawake tu

Ni vema Tume ya Uchaguzi ikatangaza rasmi kuanza kwa kampeni kwani CCM tayari wameanza mapema kabisa. Suala la uchukuaji fomu ndio lifanyike mwaka 2025.
 
Back
Top Bottom