High-level Dialogue: An Adaptation Acceleration Imperative for COP26 - Jakaya Mrisho Kikwete

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,274
24,140
High-level Dialogue: An Adaptation Acceleration Imperative for COP26 - Jakaya Mrisho Kikwete



The Global Center on Adaptation (GCA) convened a High-Level Dialogue towards shaping a clear “Adaptation Acceleration Imperative for COP26”. Just weeks from the start of COP26, the dialogue gathered leadership from key nations together with regional and international agencies to consolidate the ambition, financing and partnerships needed for COP26 to deliver bold results in terms of climate change adaptation, and position the world to rise to the challenges of a decade of unprecedented global climate threats which lie ahead.

Source : The Global Center on Adaptation
 
Injinia Maryprisca atoa Pongezi kwa Jakaya Kikwete kulekea mkutano wa Scotland

Injinia Maryprisca ahutubia Mkutano Nchi 50 Baraza la Maji Afrika, Ampongeza Jakaya Kikwete kuchaguliwa

 
Tanzania sasa kuwakilishwa vyema kimkakati kimataifa

Tanzania sasa kuwakilishwa vyema kimkakati kimataifa, ujumbe wake mzito waelekea Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi (COP 26)

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN KUHUDHURIA MKUTANO WA COP 26 UTAKAOFANYIKA GLASGOW, SCOTLAND




*******************************

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 30 Oktoba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi (COP 26).

Pamoja na mambo mengine yatakayojadiliwa katika Mkutano huo wa COP 26, Mhe. Rais Samia anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo tarehe 02 Novemba, 2021.

Aidha, Mhe. Rais Samia anatarajiwa pia kukutana na kuzungumza na baadhi Wakuu wa nchi, Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, Wakuu wa Taasisi mbalimbali pamoja na wafanyabiashara wakubwa kwa lengo la kuimarisha ushirikiano na uhusiano baina ya Tanzania na nchi hizo pamoja na Taasisi zao.

Lengo la Mkutano huo wa COP 26 ni kujadili jitihada za kupunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa ili kupunguza joto duniani.



Jackson Msangula

Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
 
Back
Top Bottom