Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndilo kundi linalonyanyasika sana kipindi hiki. Nyinyi msijali walikuwaje bali jalini mailage ya kisiasa.Hawa ndiwo watu wanaotegemewa hadi na wajomba zao huko kijijini kuwatumia elfu 5 kila...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Tunaona majilabu mengi sana kila unapokuchwa na hawa Chadema ,siku hizi wanasema CHADEMA DIGITAL, kila sehemu unasikia wananchi wengi wanahidhuria na kujiunga au kuitikia wito. Suali: Je...
0 Reactions
5 Replies
862 Views
Jana tumesikia polisi akitoa ushahidi wake kwenye kesi ya Mbowe. Tumesikia na siyo mara ya kwanza wakijitetea kwamba maelezo waliyoandika wamejisahau wakakosea yaani "typographical error". Je...
118 Reactions
180 Replies
17K Views
Wakati wa uongozi wake aliwahi sema kuwa watu wasimuandame kuwa anasafiri sana. Alisema kuwa huko watu wanapesa sana hivyo ni muhimu atoke akahemee. So kama JK akiombwa ushauri wa kuongoza nchi...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Mara nyingi tunasikia viongozi wakisema “nendeni mkafanye”. Hiyo haitoshi kuleta utekelezaji. Lazima kutoa KPI (Key Performance Indicator) na kufuatilia utekelezaji wake. Kilicholeta maendeleo ya...
19 Reactions
25 Replies
3K Views
Salamu wakuu, Naomba kufahamu taratibu za kuanzisha chama cha siasa. Ahsanteni..
0 Reactions
47 Replies
11K Views
Hapa ndipo Nchi nzuri ya Tanzania ilipofikishwa na Watu waoga walioshindwa hoja . Taarifa inaonyesha kwamba Wamiliki wote wa kumbi za mikutano Mjini Kyela wamepewa onyo la kutowapa nafasi kwenye...
19 Reactions
35 Replies
45K Views
Makamu Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo, Zanzibar Juma Duni Haji amejiuzulu nafasi hiyo, ili kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, iliyokuwa ikishikiliwa na Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Shahidi #2 wa upande wa mashtaka Justine Kaaya katika ushahidi wake kaeleza ya kwake: 1. Alivyokutana na Mh. Mbowe 2. Alivyompa Mbowe taarifa za washirika wa Sabaya. 3. Alivyosafiri Longido...
27 Reactions
106 Replies
11K Views
Kila nikifuatailia kesi za aina hii naona Serikali inasema ni upatu ... Ilianza DECI... Ikaja Mr KuKu Sasa kuna wahanga wapya wa Vanilla Swali moja najiuliza kwanini hii "Organised Crime...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Mnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema? Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake...
5 Reactions
94 Replies
6K Views
“Niwaambie Watanzania wenzangu hakuna Mtanzania awe Ndovu au sisimizi mwenye kusimama juu ya sheria hakuna aliye juu ya sheria, ukimdhalilisha mwenzako ukadhani kwamba utaendelea kupiga miluzi na...
46 Reactions
168 Replies
19K Views
Hivi vyama vikubwa viwili vyote vipo hoi. Hoi sana. Kimoja kinashikiliwa na Dola na kikingine kinashikiliwa na Ukosefu wa Chama mbadala. Utaniuliza ACT nitakujibu hamna kitu pale. Hamna chama cha...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Halmashauri ya jiji la Dodoma mwaka Jana robo kama hii ilikuwa ya kwanza Kwa ukusanyaji Kati ya majiji yote, mwaka huu yawa ya mwisho. Na kimkoa yawa ya pili toka chini, kulikoni? Nini...
5 Reactions
94 Replies
8K Views
Nimesikia tukio la dereva kutaka kuwaua Askari ila wakamuwahi, jambo hili sijalishangaa kwangu naona kuwa ni jambo sasa Serikali kuweka vifaa maalumu pale kwenye kizuwizi kuwasaidia hawa Askari...
22 Reactions
88 Replies
8K Views
Tuliambiwa tozo za miamala ya simu ni kwaajili ya ujenzi wa madarasa. Kadhalika, juzi kati serikali ya mama samia imekopa kiasi cha zaidi ya trioni moja kutoka IMF ambapo zaidi ya mabilioni ya...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu. Nani atafidia hii hasara?
42 Reactions
542 Replies
47K Views
Ni yeye Silaa Amesema hayo leo Jijini Dar es Salaam Silaa ambaye ni Mbunge wa kuchaguliwa akiwakilisha jimbo la uchaguzi la Ukonga amesema nia yake hiyo ni kutaka kuonyesha umoja na madereva...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
WADAU KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA ALIZETI IKUNGI Serikali ya wilaya ya Ikungi imefanikiwa kuwaunganisha wadau wenye nia ya kuwekeza kwenye kilimo cha alizeti na taasisi za kifedha ikiwemo benki ya...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Kutokana na shauku kubwa ya maendeleo niliyo nayo na ukizingatia kuwa nchi yetu ina kila mazingira ya kutufanya uchumi wa nchi yetu ukuwe kuliko mataifa mengi, ndipo najiuliza hiki chama...
1 Reactions
1 Replies
720 Views
Back
Top Bottom