Kama mtuhumiwa mwenzake na Mbowe alikiri kupanga njama za ugaidi, Jamhuri inachelewesha nini kufunga ushahidi ili kesi iishe?

Tangu nianze kuifuatilia hii kesi na bahati nzuri huwa kila inapotajwa nahudhulia mahakamani.sijawahi kusikia kuna mtuhumiwa aliyekubali kwamba walipanga njama za ugaidi.

sasa wewe mwenzetu sijui umeambiwa na nani hii habari..acha story za kusimuliwa mkuu na kama jambo hulijui ni vyema kunyamaza kimya au kuuliza..Nina uhakika huna unachoelewa katika hii kesi
 
Tangu nianze kuifuatilia hii kesi na bahati nzuri huwa kila inapotajwa nahudhulia mahakamani.sijawahi kusikia kuna mtuhumiwa aliyekubali kwamba walipanga njama za ugaidi...
Caution statement imechukuliwa na mahakama kama ushahidi. Unaelewa maana yake?
 
Caution statement imechukuliwa na mahakama kama ushahidi. Unaelewa maana yake?
Yaliyojiri kwenye kesi ndogo unayaelewa vizuri Richa ya kuwa wameyapokea Kama ushahidi!
Watu wanasubiri kesi iishe ili Ile hukumu ya kesi ndogo ipingwe na Kila mwenye akili timamu.

Ninacho jua Mimi Ile hukumu Ni special kwa Mbowe tu Ila kesi ikiisha serikali itatamani rufani dhidi ya Ile hukumu.

Ile hukumu sio salama kwa Kila mtanzanian awe kiongozi au raia ikitumika Kama rejea, polisi watatesa watu ili kupata ushahidi na ukakubarika mahakamani

Pole enyi mbweha mtambue sisi sote tumeingia mtegoni Kama panya kwa gharama za kumfunga Mbowe.

Uwiiiiiii
 
Tangu nianze kuifuatilia hii kesi na bahati nzuri huwa kila inapotajwa nahudhulia mahakamani.sijawahi kusikia kuna mtuhumiwa aliyekubali kwamba walipanga njama za ugaidi.sasa wewe mwenzetu sijui umeambiwa na nani hii habari..acha story za kusimuliwa mkuu na kama jambo hulijui ni vyema kunyamaza kimya au kuuliza..Nina uhakika huna unachoelewa katika hii kesi
huyo dada toka mbowe amtelekezee mtoto amekuwa mweu.

ameshindwa kuukubali ukweli kuwa tayari ameshakuwa single maza na a-move on ili maisha mengine yaendelee.
kabakiza kuanzisha viuzi vya kipumbavu tu.
 
Sawa kamanda usiechoka kwa hisani ya watu wa Lumumba!! Najua ikitokea afungee utapiga vigelevigele na kucheza vigodoro!
Maelezo ya onyo ya Adam Kusekwa mmeyachukua kama ushahidi. Na kwa mantiki hii ni kuwa alikiri kufanya mnayodai kuwa njama za ugaidi.

Mengine mnataka kuleta Mbwembwe kama golikipa Spear Mbwembe.

Malizeni kesi, toeni hukumu mapema.
 
Maelezo ya onyo ya Adam Kusekwa mmeyachukua kama ushahidi. Na kwa mantiki hii ni kuwa alikiri kufanya mnayodai kuwa njama za ugaidi.

Mengine mnataka kuleta Mbwembwe kama golikipa Spear Mbwembe.

Malizeni kesi, toeni hukumu mapema.
Labda watafute wakueleze maana ya neno 'hearing'. Mi nadhani ndiyo kinachoendelea.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom