"Katiba nayo lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo,kwa hiyo kama mahitaji yanabadilika kulingana na nyakati zinavyobadilika. Lazima katiba nayo ibadilike. Katiba lazima ifuate mahitaji ya nchi...
Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine.
Fuatilia hapa kujua...
Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao, wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.
CHADEMA imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.
Hii...
JPM aliondoka akiwa amevuruga kabisa mambo ya good governance Serikalini na hasa kwenye Taasisi zake. Enzi za Mkapa mpaka JK, nafasi za nyeti Serikalini angalau watu walishindanishwa.
Sheria...
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu, Mhe. Luhaga Joelson Mpina amesema usimamizi makini, ufuatiliaji na ziara za mara kwa mara za Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. David Kafulila...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Mabadiliko ya Tabianchi ni suala la Dunia nzima, hivyo suluhisho lake linapaswa kuwa la Ulimwengu wote
Ameeleza kuwa hatua za pamoja zikichukuliwa na...
Na Tito Mselem
Tanzania ni miongoni mwa mataifa Duniani yaliyobarikiwa zaidi kwa rasilimali za asili. Miongoni mwa rasilimali hizo ni pamoja na madini ambayo yamekuwa na mchango mkubwa katika...
Wanabodi,
Kabla ya yote, tukubaliane kwamba wana CHADEMA ndio wanaojitoa muwanga katika sakata hili la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
Nina amini kwamba kila tatizo lina umuhimu wa...
Kiongozi yeyote anapopata upenyo wa kuhudhuria Mikutano muhimu kama unaoendelea huko Scotland, ni vema akatumia wasaa huo muhimu wa kukutana na Wadau wa Maendeleo, ili wasaidie Mkwamo wa Nchi...
Kwa wakazi wa Dar-es-Salaam masikini na tajiri, kwa muda mrefu , wamekuwa wakienda kwenye visiwa vya Mbudya na Bongoyo kwa ajili ya mapumziko ya masaa. Wanafunzi wengi sana kutoka kwenye vyuo...
Ipo tofauti nimeiona ndani ya miezi saba tangu JPM aage dunia na Rais Samia apewe nchi. Tofauti ya uwezo wa kusikiliza na kufanya maamuzi yenye mizania sahihi. JPM hakubarikiwa busara za utatuzi...
Ndugu wanajukwaa nami kama wakili msomi ninaomba ku-share nanyi kwa uzoefu wangu wa kesi mbali mbali nilizowahi kuzisimamia huko Tz na mifano ya rejea katika kufundisha kwangu somo sheria huku...
Yes, ni kweli katiba yetu imepitwa na wakati na imebana sana uhuru wa kisiasa,
Lakini katika maisha haya ya Watanzania licha ya hiyo katiba sijaona kiongozi mwenye nafuu kuzidi Raisi wetu.
Hebu...
Ninawaonea huruma sana wale Waendesha Mashataka wa Serikali! Wanastrugle sana sana kuonesha kuwa akina Mbowe walikuwa na makosa ya ugaidi.
Yule shahidi wa jana aliposema tu yale maneno "Mpo chini...
Leo Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amehutubia mkutano wa Tabia nchi unaofanyika Scotland, katika hotuba yake fupi na kuongelea Tanzania ilivyoathirika na mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo...
Awali ya yote Mimi ni mojawapo ya Kijana ambaye nafarijika kuona Mhe.Rais wetu akisafiri nje za Nchi na kufungua Fursa za mambo mengi ikiwemo kuitangaza, Nchi yetu kimataifa pamoja na kuvutia...
Mbunge Humphrey Polepole amesema kuna upotoshaji mkubwa unatembea huko mtaani kuwa Serikali ya awamu ya tano chini ya John Magufuli ilikopa fedha nyingi kiasi kwamba madeni hayo yanaipa shida...
Mchambuzi wa masuala ya Demokrasia pana ndugu Kibwana Sharrif amesema huko duniani mashahidi wa kesi za Ugaidi hutoa ushahidi wao kwa siri mbele ya vyombo vya sheria.
Hii ni kwa sababu Ugaidi ni...
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ngorongoro, wamewadondosha wagombea wasomi na vigogo waliokuwa wanapewa nafasi kumrithi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, William Tate...
Jaji ni mtu mkubwa na mwenye hadhi ya juu Sana katika mfumo wa Mahakama. Majaji pamoja na kuwa na hadhi ya juu pia ni watu ambao wanamajukumu mahususi na wanapaswa kufuatilia mambo nyeti kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.