Mbunge wa Ukonga Mh.Jerry William Slaa ameonekana maeneo mbalimbali ya jimboni kwake akiwa anaendesha bodaboda huku akiwa na abiria.
Baada ya mahojiano amekiri kutumia kipindi hiki cha likizo...
Hii mifuko inabidi iwekewe sheria kali kwa wanasiasa kujichotea hela kutimiza miradi yao iliyokwama au nakisi ya bajeti kwa gharama ya wastaafu.
Hawa wazee wamekuwa wanapeleka michango yao miaka...
Baada ya miaka mingi ya mapinduzi ya kijeshi kutokufanyika Africa kwasasa wimbi la utawala wa kijeshi na mapinduzi yanarudi kwa kasi Afrika.
Tumeona nchi za Mali, Guinea na Sudan wanajeshi...
Tangu 2016 hadi 2021 nimesikia Spika analaumiwa na yeye akiwa ndani ya Bunge analalamika hata akialikwa kwenye tukio kama mgeni Rasmi analalamika hadi anaongea nje ya mada ya tukio husika.
Vigezo...
Ndugu Laurence Mafuru Ambae amewahi kua mkurugenzi Mkuu wa NBC Bank na Msajili wa Hazina ameteuliwa kua kamishna wa Sera wizara ya fedha.
Hakuna mahala uteuzi huo umetangazwa ila nimebahatika...
Ni kawaida uhuru wa mtu kuingiliwa iwapo inaonekana unahatarisha usalama wa wengine. Lakini ni lazima mahakama ithibitishe kuwa usalama wa wengine upo hatarini.
Vyombo vya dola vikiingilia bila...
Kampuni ya Mawasiliano ambayo mtu mmoja anaweza kuwa Mwanasheria, akawa afisa tehama, akawa na uwezo wakusoma taarifa za wateja, akaziprint, akazipeleka anapoona panafaa kwa kugonga mhuri wa...
Huyu Shahidi wa 5 wa Serikali ya Tanzania kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake ambaye inasemekana ni Mwanasheria kutokea kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo, anatajwa...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura Namba 129 ili kusimamia na kuratibu utoaji wa elimu na mafunzo ya ufundi katika Vyuo ambavyo si Vyuo...
Katiba inabeba msingi mzima wa mahusiano baina ya watu na watu na pia watu na mamlaka katika nchi.
Tuna malalamiko ya msingi kuhusiana na mahusiano haya hapa nchini. Hatuko sawa mbele za haki...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makala ametembelea ufukwe wa Coco na kukagua ujenzi wa vibanda vya kisasa vya wamachinga.
Makalla amefurahishwa na kusema wamachinga wengi zaidi wapewe vizimba...
Msanii Vitali Maembe amekamatwa Leo tar 02 November 2021 mjini Bagamoyo. Taarifa za mwanzo zinasema yeye ni msanii mwenye nyimbo zinazoitukana serikali.
Taarifa za mwanzo zinasema yeye ni msanii...
Inasikitisha sana kuna machawa pro max wa kiwango cha dunia, alivyokuwa new york wali edit screens za matangazo za Times Square, cha ajabu nini hadi mu edit? Si hela ilipwe tu tangazo liruke...
Waziri Aweso kila siku yuko kwenye kamera na waandishi na yaonekana rais anaamini ni mtendaji mzuri. Kwa tabia za Waziri huyu na watendaji wa wizara hii, tatizo la maji halitakwisha nchi hii...
Huyu alikuwa anaonekana kama mmojawapo wa wabunge wasio na maana sana bungeni. Lakini kwa jana ameonekana kama vile anaanza kutumika kama game changer! Wangeongea aliyanena jana akina Nape na...
Anita Valerian Mtaro shahidi #4 mkristo mwuuza pombe za kienyeji, alitimba mahakamani incognito ndani ya vazi la kiislam akiwa pia katupia barakoa lenye kumwachia macho ya kuweza kuona peke yake...
Msanii Khalid Mohamed aka Top In Dar (TID) ameibuka na kutaka chama cha Demokrasia na Maendeleo kimlipe kwa kutumia neno "Ni Yeye" katika kampeni zao. Msanii TID anadai neno "niyeye" ni ubunifu...
Hali hii imeanza kuleta mashaka ndani ya chama cha zamani baada ya mtaji wake wa miaka mingi ambao ni wazee kuanza kumeguka kwa kasi .
Shida kubwa inayoikumba ccm Kyela ni sera yake mbovu ya...
INFORMATION IS POWER
Miaka yote mkoloni ametumia udhaifu wa information kuwatawala waafrika na viongozi wa kiafrika bila kujua wameingia kwenye mtego wa mabeberu kwa kuwaminya wananchi wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.