Vikao na viongozi wa Kiafrika huko Ulaya badala ya Wadau wa Maendeleo vya nini tena?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,369
217,424
Kiongozi yeyote anapopata upenyo wa kuhudhuria Mikutano muhimu kama unaoendelea huko Scotland, ni vema akatumia wasaa huo muhimu wa kukutana na Wadau wa Maendeleo, ili wasaidie Mkwamo wa Nchi yake.

Uko Ulaya halafu unapambana kukutana na Chakwera ambaye nchi yake imekongoroka unataka akusaidie nini, Demokrasia? mbona kwenu mnaisigina?

Safari za viongozi ni vema zikawa na tija basi.

Rais_wa_Jamhuri_ya_Muungano_wa_Tanzania_Mhe._Samia_Suluhu_Hassan_akiwa_katika_picha_ya_pamoja_...jpg
 
Badala ya kufanya ziara ya kwenda Malawi anatumia fursa hiyohiyo kuonana na marais wengine ikiwezekane.

Ziara ya Rais kwenye nchi nyingine inagharimu pesa nyingi, tukiweza kusave matumizi yasiyo na lazima kwa style hii shida iko wapi?

Unaweza kuona ni namba 9 kumbe ni 6 kwa sababu ya mtazamo tu, sawa tu na heat na eat.
 
Hakuna kiongozi wa ccm anayebana matumizi , chukua hiyo
 
IMO ile kampeni kule Twitter Republic few weeks before travelling to New York plus Mbowe’s FAKE case imemchafua sana kwa mabeberu. Kumbuka Hichilema kule kwenye #UNGA alipata nafasi ya kukutana na delegation ya Biden pia kualikwa WH kule DC na maushungi akaambulia patupu hata picha hakupata labda this time atapata picha.

Udhalimu anaoufanya dhidi ya Chadema na Viongozi wake ndani ya miezi michache tu tangu aingie madarakani, kuminya haki za binadamu, vyombo vya habari ná vyama vya siasa kumemchafua katika nchi nyingi duniani zinazothamini utawala wa sheria.

Umeona bhana !
 
Kuna mwendawazimu alikuwa akiwaita hawa mabeberu, na wajinga wenzake wote mkaririshwa kama makasuku vile.
Mkaririshwa ndio nini huko mtaa wa ufipa? Kuna vichaa pale Sacco's ya mtaa wa ufipa waliwakaririsha nyumbu wao mmoja wa nyumbu hao ni wewe kuwa lowasa na sumaye ni mafisadi na mgombea wa chadema akawa lowasa huoni hili ni ajabu la 8 la dunia
 
Katika kitu wapumbavu wa ccm huwa mnashangaza, kwamba mtu asiyeitaka ccm ni Chadema?

Pumbavu kabisa, mimi siyo mtumwa wa vyama, mimi ni independent citizen fala wewe.
 
Badala ya kufanya ziara ya kwenda Malawi anatumia fursa hiyohiyo kuonana na marais wengine ikiwezekane.

Ziara ya Rais kwenye nchi nyingine inagharimu pesa nyingi, tukiweza kusave matumizi yasiyo na lazima kwa style hii shida iko wapi?

Unaweza kuona ni namba 9 kumbe ni 6 kwa sababu ya mtazamo tu, sawa tu na heat na eat.
Naona umeamua kuifanya kazi ya CAG
 
Back
Top Bottom