Maoni ya Wakili: Kumfunga mtu kwa kitu ambacho hakifanyi ni gumu sana, labda kwa amri

Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
309
1,000
Ndugu wanajukwaa nami kama wakili msomi ninaomba ku-share nanyi kwa uzoefu wangu wa kesi mbali mbali nilizowahi kuzisimamia huko Tz na mifano ya rejea katika kufundisha kwangu somo sheria huku ugenini. Kiufupi kumfunga mtu kwa tukio ambalo hajalifanya ni ngumu sana hata kama umemkamata na nyenzo za kufanya tukio. Mbaya zaidi kama hana records zozote za kufanya matukio ya namna hiyo, hapa hamna kesi zaidi ya ubishani wa kisheria na uelewa wake.

Huwezi kunikuta nimesimama na Mtoto wako wa kike ukasema kuwa nilikuwa nataka kumbaka hata kama yeye amepiga kelele na akakiri kuwa nimembaka. Hapa ni lazima kwanza twende hospitali muda huo huo na daktari aandike muda aliobakwa mtoto na aoneshe kuwa kuna mbegu za kiume zimebakia kule sehemu za siri. Lakini tu huwezi kusema eti nilidhamiria kumbaka mtoto wako wakati sijambaka, ushahidi wa dhamira utathibitishwa na nani nisipokiri mimi mhusika?

Huwezi kusema fulani alidhamiria kulipua vituo vya mafuta wakati hajalipua na hakuna ushahidi wa dhamira hiyo, mbaya zaidi hujamkuta na vilipuzi. Ngumu sana na haiingii akilini kusema kuwa fulani alipanga kumpulizia fulani spray ya sumu wakati hajapuliza na wala hiyo Spray hana unaishia kusema alipanga kwenda kununua Spray hiyo, alinunua? Huwezi kusema watu walipanga kukata miti na kuiweka barabarani kisha kuitisha maandamano wakati hawakufanya tukio hilo,hata kama ungewakuta na mapanga lakini hawajakata miti, ulijuaje kama dhamira yao ni kukata miti?

Ingekua tukio limefanyika una uthibitisho upo wa tukio lenyewe kufanyika halafu akashukiwa mtu kisha akachunguzwa na kumkuta na nyenzo za kufanyia tukio kama ushahidi, hapa ni rahisi sana kumtia hatiani. Ndiyo maana imekuwa rahisi sana kwa Sabaya kufungwa maana alifanya matukio na ushahidi kuwa alikuwa anavamia maduka ya watu upo mpaka kwenye CCTV Cameras zinaonyesha. Watu wakisema kesi ya Mbowe na Sabaya ni tofauti ni kwenye matukio yenyewe.

Kwahiyo kwenye kesi hii ya Mbowe ni ubishani tu wa kisheria na kuonyesha nani ni fundi sana wa kuhoji maswali na nani fundi sana wa kubadili dhana au uongo kuwa kweli. Sioni misingi ya haki ya kimahakama kwenye hili. Labda iamuliwe kwa amri tu.
 
Jerlamarel

JF-Expert Member
Sep 14, 2021
498
1,000
Shahidi wa nne ame-nullify ushahidi wa shahidi wa kwanza
Screenshot_20211101-173222.jpg
 
Ibambasi

JF-Expert Member
Jul 25, 2007
9,036
2,000

Wakili mchanga sana wewe
 
leonaldo

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
2,349

Umelima kwenye mtaro kamanda 100% correct
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
26,016
2,000
Hii kesi ni nzuri sana kwa wanafunzi wa sheria kufanyia marejeo.
 
Kalunya

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
3,737
2,000
Mashahidi wote kuanzia baba yao kingai hamna kitu - wanaiacha mahakama na maswali kuliko majibu.
Uliona wapi kesi za kubumba ushahidi kwa tochi zisiwe na shaka.
Hata kama kingai anasaka kumrithi Siro watz sio wajinga.
Mbowe gaidi magufuli angemuacha kweli kwa akili tu ya kawaida.
Watz wanajua ni baada ya kudai katiba mpya.
Nani atawamini hawa kama waliweza wabambika kesi wazee wa escrow na uhamsho wakawalaza ndani miaka kwa uonevu bila ushahidi.
 
wakaliwetu

JF-Expert Member
Jul 16, 2020
657
1,000
Ndugu kwa upande wangu mimi nakubali umefafanua vyema sana na niseme tu wanasheria ni watu wagumu sana kuwaelewa maana mara nyingi sana mnagusa mahala kwa kutumia weledi mkubwa kuepusha madhara kwa wengine, basi itoshe kusema Mungu awape hekima na busara viongozi wetu wasione vyama vya upinzani kuwa ni dhambi na niwatu wakushinda mahakamani na selo tu.
 
wakaliwetu

JF-Expert Member
Jul 16, 2020
657
1,000
Uliona wapi kesi za kubumba ushahidi kwa tochi zisiwe na shaka.
Hata kama kingai anasaka kumrithi Siro watz sio wajinga.
Mbowe gaidi magufuli angemuacha kweli kwa akili tu ya kawaida.
Watz wanajua ni baada ya kudai katiba mpya.
Nani atawamini hawa kama waliweza wabambika kesi wazee wa escrow na uhamsho wakawalaza ndani miaka kwa uonevu bila ushahidi.
Mbowe gaidi magufuli angemuacha kweli kwa akili tu ya kawaida.
Watz wanajua ni baada ya kudai katiba mpya. ................
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
7,445
2,000
Ndugu wanajukwaa nami kama wakili msomi ninaomba ku-share nanyi kwa uzoefu wangu wa kesi mbali mbali nilizowahi kuzisimamia huko Tz na mifano ya rejea katika kufundisha kwangu somo sheria huku ugenini. Kiufupi kumfunga mtu kwa tukio ambalo hajalifanya ni ngumu sana hata kama umemkamata na nyenzo za kufanya tukio. Mbaya zaidi kama hana records zozote za kufanya matukio ya namna hiyo, hapa hamna kesi zaidi ya ubishani wa kisheria na uelewa wake.

Huwezi kunikuta nimesimama na Mtoto wako wa kike ukasema kuwa nilikuwa nataka kumbaka hata kama yeye amepiga kelele na akakiri kuwa nimembaka. Hapa ni lazima kwanza twende hospitali muda huo huo na daktari aandike muda aliobakwa mtoto na aoneshe kuwa kuna mbegu za kiume zimebakia kule sehemu za siri. Lakini tu huwezi kusema eti nilidhamiria kumbaka mtoto wako wakati sijambaka, ushahidi wa dhamira utathibitishwa na nani nisipokiri mimi mhusika?

Huwezi kusema fulani alidhamiria kulipua vituo vya mafuta wakati hajalipua na hakuna ushahidi wa dhamira hiyo, mbaya zaidi hujamkuta na vilipuzi. Ngumu sana na haiingii akilini kusema kuwa fulani alipanga kumpulizia fulani spray ya sumu wakati hajapuliza na wala hiyo Spray hana unaishia kusema alipanga kwenda kununua Spray hiyo, alinunua? Huwezi kusema watu walipanga kukata miti na kuiweka barabarani kisha kuitisha maandamano wakati hawakufanya tukio hilo,hata kama ungewakuta na mapanga lakini hawajakata miti, ulijuaje kama dhamira yao ni kukata miti?

Ingekua tukio limefanyika una uthibitisho upo wa tukio lenyewe kufanyika halafu akashukiwa mtu kisha akachunguzwa na kumkuta na nyenzo za kufanyia tukio kama ushahidi, hapa ni rahisi sana kumtia hatiani. Ndiyo maana imekuwa rahisi sana kwa Sabaya kufungwa maana alifanya matukio na ushahidi kuwa alikuwa anavamia maduka ya watu upo mpaka kwenye CCTV Cameras zinaonyesha. Watu wakisema kesi ya Mbowe na Sabaya ni tofauti ni kwenye matukio yenyewe.

Kwahiyo kwenye kesi hii ya Mbowe ni ubishani tu wa kisheria na kuonyesha nani ni fundi sana wa kuhoji maswali na nani fundi sana wa kubadili dhana au uongo kuwa kweli. Sioni misingi ya haki ya kimahakama kwenye hili. Labda iamuliwe kwa amri tu.
Kwa Tanzania kesi za aina hiyo huanfikiwa hukumu Ikulu na jaji kwa vile ni mteule wa Rais kazi yake ni kudurufu yaliyo andikwa tuu. Tanzania kwa sasa hamna mahakama wala bunge.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom