Suala la Utawala Bora Serikalini, Rais Samia na Hayati Magufuli lao moja tu wanaangalia siasa zaidi kulipo productivity

NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
1,281
2,020
JPM aliondoka akiwa amevuruga kabisa mambo ya good governance Serikalini na hasa kwenye Taasisi zake. Enzi za Mkapa mpaka JK, nafasi za nyeti Serikalini angalau watu walishindanishwa.

Sheria nyingi za Taassis zinaonesha utaratibu wa kupatikana kwa viongozi wa Taasisi na nafasi za juuu.

Mfano kumpata DG wa TCRA, EWURA, FCC, OSHA, TIC, ATCL, nk. kunaelekezwa kabisa kuwe na ushindani.

JPM aliachana kabisa na utaratibu huo na kwanza ilifkia hatua hata wajumbe wa Bodi mbalimbali kuteuliwa tu alivyotaka yeye.

JPM ameacha Taasisi nyingi zikiwa hazina Bodi na watendaji wakubwa ambao ama wanakaimu ama aliwapachika wake bila kufuata taratibu.

Angalia yule CEO wa Benki ya Kilimo alivyokuwa hafai lakni ndiyo akampa hivyo hivyo (Heko Samia kumtumbua huyu mtu).

Ilidhaniwa Samia sasa atakuwa kurekebisha lakini na yeye imekuwa vile vile. Taasisi nyingi zina nafasi za wazi za watendaji wakuu na maaofisa waandamizi.

HAzijazwi hizi nafasi ila tu anapopatikana mtu wao kutoka CCM wanamweka pale mara moja. Ni Ofisi ngapi hazina watendaji wakuu?

Ni Ofisi ngapi ambazo siku hizi watumishi hawashindanishwi kushika nafasi za juu?

Eti Erio kapelekwa na kupachikwa tu FCC wakati huyu bwana maisha yake yote yalikuwa kwenye Mifuko ya Pensheni.

Minafasi ya wajumbe wa Bodi ipo mingi haizibwi na kufanya Taasisi hizi zishindwe kufanya kazi zake.

Samia achana na mambo ya kikale ya kazi iendelee. Ni bora kusema "Achana na ya kale, tufanye kwa ujuzi Zaidi".

Kusema kazi iendelee ni sawa kusema manyanyaso yaendelee!
 
JamiiForums-540217521.jpg
 
Mkuu CCM wsnateuana wanaojuana miaka na miaka. Hebu niambia kipindi Cha mkapa na JK kina nani walishindanishwa?
Samia nae karithi ya miaka yote, atayefata nae hivyohivyo.
Suala hapa ni katiba mpya, ambayo itapunguza au kuondoa kabisa raisi kuteua.
Ila kusema kipindi Cha mkapa na JK kulikuwa na kushindanishwa ni uongo mkubwa
 
Wewe muongo wa kutupwa wala usitolee mfano wa JK kabisa hana sifa ya kurejerewa kwa chochote wakati wa kung'olewa makucha ilikuwa enzi gani, Ulimboka alifanywajwe? Said Kubenea alifanywaje? Dk Mwakyembe alifanywaje? Prof Mwandosya alifanywaje kipindi akiwa madarakani? nk
 
wao maslahi binafsi 2025 wanatoka vipi. Mengine hawana habari kabisa
 
Mkuu CCM wsnateuana wanaojuana miaka na miaka. Hebu niambia kipindi Cha mkapa na JK kina nani walishindanishwa?
Samia nae karithi ya miaka yote, atayefata nae hivyohivyo.
Suala hapa ni katiba mpya, ambayo itapunguza au kuondoa kabisa raisi kuteua.
Ila kusema kipindi Cha mkapa na JK kulikuwa na kushindanishwa ni uongo mkubwa
bila katiba bora katiba mpya tutegemee busness as usual
 
Vyeo vya DED saivi vimekuwa vya kimkakati hasa kuelekea 2025 nadhani ushajua adhma ya mama, usitegemee mabadiliko. Sheria, Kanuni za utumishi wa Umma umetupwa kapuni hamna cha vetting wala nini ni majina mteuzi anaamua anavyojisikia
 
Wewe muongo wa kutupwa wala usitolee mfano wa JK kabisa hana sifa ya kurejerewa kwa chochote wakati wa kung'olewa makucha ilikuwa enzi gani, Ulimboka alifanywajwe? Said Kubenea alifanywaje? Dk Mwakyembe alifanywaje? Prof Mwandosya alifanywaje kipindi akiwa madarakani? nk
Du. Si bora hao walifanyiwa hivyo lakini wapo hai mpaka leo! Je Ben Saa Nane na Azory Gwanda sijui wako wapi? Punguza hasira kaka!
 
Mkuu hao sijawataja isivyio bahati tu lakini na wenyewe pia ni kutokana na matendo yao-CCM haifai kwa sasa amini au usiamini
 
Back
Top Bottom