Baada ya mjadala uliozuka kutokana na shahidi wa kesi ya Mbowe, nikalazimika kuipitia sheria inayolinda faragha za watu kwa nchi za Ulaya ambayo ni GDPR nikakutana na Haki ya Kusahaulika.
Haki...
Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine.
Fuatilia hapa kujua...
Kuna baadhi ya makamanda wameniambia sera ya Bima ya Afya kwa Wote ni ya Chadema na kwamba Hayati Magufuli aliikopa kutoka Ufipa akaitia kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM.
Mimi naamini hii ni sera...
Sasa ni wazi kwamba Watanzania wamechoshwa na hali duni , na wala hawapigi kelele tena , hivi sasa ni vitendo tu .
Hebu angalieni wenyewe foleni ya Chadema Digital Kahama .
Jeshi la polisi limeendelea na danadana zake kukwepa kumpeleka msanii Optter Mahakamani huku likiendelea kuzuia dhamana yake.
Wakili kutoka kituo cha THRDC amepeleka hati ya kimahakama kuwataka...
Rais wa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson katika masuala ya Biashara kati ya Uingereza na Tanzania, Lord John...
JOPO la mawakili zaidi ya Saba leo wamefungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, kupinga baadhi ya vipengele katika Sheria ya Makosa ya Mtandaoni ya mwaka...
Sitaki kuwa sehemu ya laana ya nchi kwa kuhudhuria shughuli ambayo wahudhuriaji wengine ni miongoni mwa Watu waliomtesa Maalim Seif wanaofahamika hata na vipofu .
Sitashiriki dhambi hiyo .
CHADEMA imajiandaa vipi kwenye mfumo wa mawasiliano hasa Tundu Liss? Nitashangaa sana kama Tundu Lissu anatumia. Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel, Zantel au TTCL.
Ni lazima Tundu Lissu atumie...
Rais Samia atakuwa Mgeni rasmi katika maazisho ya Hayati Maalim Seif Hamad Shalif Mjini Zanzibar.
Maazimisho yatafanyika Golden Tulip Airport Hotel Zanzibar kuanzi tarehe 05 hadi 06 Novemba 2021...
Wale wachimbaji wa madini watakuwa wanafahamu unavozidi kuchimba kitaalam kila ukusanyaji wa viroba ndivo unavozidi kuibua madini ya aina mbali mbali.
Kwenye uchimbaji mnapozidi kuchimba kila...
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chadema kwa watu wote Duniani .
KWA FAIDA YA WANA JF na WATANZANIA WENGINE Ikumbukwe kwamba Mgombea ubunge wa Chadema kwenye ulioitwa uchaguzi mkuu wa 2020...
Mgombea wetu wa Bagamoyo, Ndugu Vitali Mathiasi Maembe ameondolewa kuwania Ubunge wa Jimbo hilo. Majimbo mengine ya Pwani ambayo Wagombea wetu wamekatwa ni Mkuranga na Kibiti.
#Hatukubali
Wiki hii mahakama kuu imetoa hukumu ya kesi baina ya bernad membe vs cyprian musiba au "Mwanaharakati huru" kesi ambayo ilifunguliwa na Bernad Membe.
Hukumu ya kesi hiyo imetolewa na musiba...
Lipo tatizo tena kubwa mno kwenye Mhimili wetu wa Bunge la Tanzania.
Binafsi,hadi mchana wa leo sikuwa natambua kwamba vikao vya Bunge vimeanza huko Dodoma na imani yangu ni Watanzania wengi...
Hii kesi ya ugaidi inatumika kupiga ndege wawili kwa jiwe moja, ila mmoja ndiyo analengwa zaidi, kwa bahati mbaya mshika manati ndiyo anapoteza zaidi.
Nakumbuka miaka ya 2000 kuja 2005 ilikuwa...
Mabaai ya mikoani yanachosha sana, maana Km 1000+ unatembea kwenye basi. Tofauti na SGR itayokuwa na kasi ya Km 200+/hr.
Gharama za usafirishaji zitapungua sana. Maisha ya wananchi yatapata...
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bwana Macrice Daniel Mbodo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini...
Mbunge wa Kilombero Aboubakar Asenga amesema Spika wa bunge mh Ndugai ana uchungu sana moyoni kufuatia serikali kushindwa kupeleka bungeni mswada wa Bima ya Afya kwa Wote.
Asenga amesema iwapo...
Habari JF
Serikali kupitia Wizara ya Afya ilitoa taarifa kuwa ipo katika hatua za mwisho kuwachukulia hatua wote watakaobainika walihusika katika kuvujisha mtihani wa kitaaluma wa mwaka wa pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.