SGR ikikamilika ndio taifa letu litamkumkuka Hayati Magufuli

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Mabaai ya mikoani yanachosha sana, maana Km 1000+ unatembea kwenye basi. Tofauti na SGR itayokuwa na kasi ya Km 200+/hr.

Gharama za usafirishaji zitapungua sana. Maisha ya wananchi yatapata ahueni. Fikiria mfuko wa saruji kwa kanda ya ziwa ni Tsh 20,000/= kwa sasa.

JPM alichukiwa na mafisadi kwa kulipenda taifa lake.
 
Mabaai ya mikoani yanachosha sana, maana Km 1000+ unatembea kwenye basi. Tofauti na Sgr itayokuwa na kasi ya Km 200+/hr.

Gharama za usafirishaji zitapungua sana. Maisha ya wananchi yatapata ahueni. Fikiria mfuko wa saruji kwa kanda ya ziwa ni Tsh 20,000/= kwa sasa.

JPM alichukiwa na mafisadi kwa kulipenda taifa lake.
Ahueni na maendeleo kwa ujumla ndivyo tunavyovitaka. Mungu ibariki nchi yetu
 
Hivi kwani mpango wa kujenga SGR si ulianza na Kikwete.. watu wapuuzi sana humu yaani yule kiongozi mkatili na muuaji akumbukwe kwa kutekeleza ila ya ccm.. kwani pesa za kujengea alitoa mfukoni? mbona kafilia mbali na mradi unaendelea kwa kasi kubwa.

Acheni kufanya mambo ya kitaifa kuwa ya mtu mmoja
 
Huyo Kikwete kwani alipaswa atumie hela yake binafsi au kodi zetu?

Je, alijenga hata inch moja tu kwenye SGR?

Au yeye hakuruhusiwa kutumia kodi zetu kuijenga hiyo SGR kama JPM?

Halafu ukatili wake ni upi, kukuondoa kazini kwa kuwa haukidhi vigezo?

Thibitisha hayo mauaji aliyoyafanya.
 
Mabaai ya mikoani yanachosha sana, maana Km 1000+ unatembea kwenye basi. Tofauti na SGR itayokuwa na kasi ya Km 200+/hr.

Gharama za usafirishaji zitapungua sana. Maisha ya wananchi yatapata ahueni. Fikiria mfuko wa saruji kwa kanda ya ziwa ni Tsh 20,000/= kwa sasa.

JPM alichukiwa na mafisadi kwa kulipenda taifa lake.
Kufa umfuate huko
 
Thibitisha hao maelfu (ambao hauwezi hata kutaja idadi kamili) ni wastaafu na wamedhulumiwa.
Nikutajie wewe Kama Nani Sasa?Unaweza ukafanya Nini Sasa wewe zaidi ya kusubiri kipindi chenu Cha shule ya uongozi,ufarijike then ulaze zako kende tu hapo kwa shemeji yako.

Nakwambia jamaa yenu alikua mdhulumati kishenzi,anachukua pesa kwny mifuko ya wastaafu Halafu anakuja kudanganya hadharani eti ni pesa za ndani,sisi Ni Matajiri.

Wastaafu Wana miaka zaidi ya 4 tunafukuzia pesa zetu Ni chenga tupu,mifuko haina pesa.Mama Samia alipoingia tu akasema tena Nyir huko kwny mifuko ndio uozo mtupu.

Ila Mungu Ni fundi Sana.
 
Mabaai ya mikoani yanachosha sana, maana Km 1000+ unatembea kwenye basi. Tofauti na SGR itayokuwa na kasi ya Km 200+/hr.

Gharama za usafirishaji zitapungua sana. Maisha ya wananchi yatapata ahueni. Fikiria mfuko wa saruji kwa kanda ya ziwa ni Tsh 20,000/= kwa sasa.

JPM alichukiwa na mafisadi kwa kulipenda taifa lake.
Atakamilisha akiwa kaburini.sisi ikiisha tutamkumbuka Rais samia ndio alijenga
 
Back
Top Bottom