OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 457
- 773
Baada ya mjadala uliozuka kutokana na shahidi wa kesi ya Mbowe, nikalazimika kuipitia sheria inayolinda faragha za watu kwa nchi za Ulaya ambayo ni GDPR nikakutana na Haki ya Kusahaulika.
Haki hii inampa nguvu mteja kuwaambia watoa huduma wafute taarifa zake zote kwenye serves zao, ili mambo aliyoyafanya zamani yasiweze kukumbukwa.
Hii ni moja kati ya kipengele muhimu kuwepo kwenye sheria ya faragha ambayo imekuwa ikizungumzwa mara kadhaa na waziri huku utekelezaji wake ukiwa finyu.
NB: Baada ya shahidi wa Tigo kusema wao wanaweka kipaumbele kwenye utii kuna watu wameanzisha kampeni ya kuhama, hii ni suala la ajabu kwa kuwa hata mitandao mingine ina ulazima wa ku-comply, Suala la kupigania ni Sheria ya Faragha ili mtu ajue taarifa zake zinakuwa handled kwa namna gani.
Signed
OEDIPUS