Msanii Vitalis Maembe aliyekamatwa na Polisi Novemba 2 kwa tuhuma za kuimba nyimbo zenye kuwakashifu viongozi amechiwa kwa dhamana
Maembe alitakiwa kuripoti kituo cha polisi Dunda mjini Bagamoyo...
#Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu ipate Uhuru mwaka 1961 kuanzia Awamu ya Kwanza hadi ya Sita ya uongozi zimefanya juhudi mbalimbali ili kukuza uwekezaji, maendeleo ya sekta...
Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2020, CHADEMA walikuwa wakilalama kwamba nchi yetu inajali maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu.
Wakawa wanaishambulia miradi kama ule wa Rufiji, SGR...
Imebidi kujiridhisha mambo kadhaa kwanza:
Amesikika shahidi #5 kwenye kesi hii akijitambulisha kama Fred Kapala (lawyer), japo TLS anasomeka kama Fred Kapara:
Ikumbukwe Fred Kapara aliwahi...
Kesi namba 457 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) inayohusu kampuni za CUSNA Investment na Ocean Link kudaiwa kukwepa kodi Bandarini Dar na kunyanyasa wafanyakazi wa kitanzania...
Habarini,
Kumekua na mjadala kua sera ya kampuni ya simu ya tigo ni mbovu kwani inashindwa kulinda taarifa za mtumiaji,kiasi kwamba polisi wanaweza pewa muda wowote watakapozihitaji bila kibali...
Tuacheni mahaba na mahabani maana kuna mtu anasema tumepunguza kutoka 8.2 hadi 8.1 na kwamba hakuna kama hanganya aisee
Hivi kuna tofauti gani kati ya kutoka 8.2 hadi 8.1?
Hivi ndo hiyo 1 ndo...
Chadema wamekimbiza sana huko kitaa na usajili wa kidigitali. Viongozi wa jumuia za chama hiki wanafanya kazi kubwa sana na wameibua wananchi kuamka hasa wanawake kuitafuta haki.
Kwa namna...
Baada ya serikali kuhamia Dodoma kuna majengo mengi sana kule posta hayana kazi mfano wizara ya afya , wizara ya ardhi, wizara ya fedha nk.
Serikali iwapatie TFF jengo mojawapo wafanye shughuli...
Nchi maendeleo huja ukiwa na mfumo sahihi wa maendeleo.
Duniani kuna mifumo miwili au mitatu au zaidi inayoongoza chumi za nchi
Ambapo ni Ujamaa na Ubepari
Kuna ujamaa wa aina mbili
Kuna...
Tatizo la wamachinga kufanya biashara maeneo yasiyorihusiwa limetokana na kuto kusimamia sheria na taratibu na wanasiasa kuwatumia wamchinga kwa manufaa yao.
Kuhusu taratibu na sheria ni kuwa...
Nimepata taarifa/fununu kuwa kuna baadhi ya wabunge wa chama cha upinzani wameamua kuunda chama kipya cha siasa kitakachokuwa mbadala wa chama kikuu cha sasa Chadema.
Taarifa zinadai wabunge hao...
Mbunge Mwita Getere ameitaka Serikali kutafuta Mfumo thabiti ili Wastaafu waweze kupata Fedha zao akisema "Watu wanakufa wanadai hela. Kwanini mtu ametumikia Nchi hii anakufa anadai hela?"...
Ukifikiri kwa makini, wote waliokuwa mabosi wa Sabaya chini ya Magufuli na wakuu wote wa vgombo vya ulinzi na usalama hawakupaswa kuendelea kuwa madarakani leo hii ila katiba ndio tatizo kwani...
Mahakama ya hakimu Mkazi Arusha imeshindwa kuendelea na shauri la unyang'anyi wa kutumia silaha linalomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya la Hai,Lengai ole Sabaya na wenzake, baada ya mshtakiwa wa...
Tangu Raisi Magufuli azuie yale makontena nilianza kujiuliza hili swali ma mpaka sasa sielewi.
Je,tulitakiwa kukaa chini na kutafuta suluhu ya pamoja na tukishindwana ndio tunapelekana katika...
Kwanza hongereni sana wale majasiri wote wa CHADEMA wanaofanya kazi takatifu ya kuwapa elimu wananchi juu ya haki yao ya kuwa na katiba bora itakayolenga kulinda haki zao.
Mheshimiwa Mbowe, yupo...
Nawataka Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol kumwachia Huru mara moja ndugu Vitalis Maembe. Polisi Mkoa wa Pwani wamefanya la hovyo sana kumkamata Vitalis kutokana na kazi yake ya kisanii ya wimbo wa...
Mbunge wa Ukonga Mh.Jerry William Slaa ameonekana maeneo mbalimbali ya jimboni kwake akiwa anaendesha bodaboda huku akiwa na abiria.
Baada ya mahojiano amekiri kutumia kipindi hiki cha likizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.