Sakata la Musiba waliokuwa wanamtuma na kumfadhili watajwe hadharani ili Watanzania tuwajue

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wiki hii mahakama kuu imetoa hukumu ya kesi baina ya bernad membe vs cyprian musiba au "Mwanaharakati huru" kesi ambayo ilifunguliwa na Bernad Membe.


Hukumu ya kesi hiyo imetolewa na musiba ametakiwa kumlipa membe sh bilion 6. Kuna vigogo wamejitokeza kwenye vyombo vya habari ambao nao waliwahi kutukanwa na kudhalilishwa na musiba ktk nyakati tofauti

Vigogo hao ni pamoja na mzee yusuf makamba Zitto Kabwe na Nape Nnauye

Vigogo hao inaonekana wanawajua wote waliokuwa wanamtuma musiba kutekeleza vitendo hivyo na kumfadhili.

Ushauri kwa vigogo
Ili kukomesha tabia na vitendo hivi ni vema hao waliokuwa wanamtuma na kumfadhili watajwe hadharani ili watanzania tuwajue kwani nao ni sehemu ya washirika wa udhalilishaji

Kutowataja ni kuendelea kuwalea kesho akitoke musiba mwingine watamtuma na kumfadhili .

1635649620452.jpg
 
Back
Top Bottom