Tanzania inafaa kuongoza nchi Ubepari kamili, Ujamaa wa kisasa au mixed economy?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
6,541
2,000
Nchi maendeleo huja ukiwa na mfumo sahihi wa maendeleo.

Duniani kuna mifumo miwili au mitatu au zaidi inayoongoza chumi za nchi

Ambapo ni Ujamaa na Ubepari

Kuna ujamaa wa aina mbili

Kuna ujamaa ulokolea au ujamaa asilia ambao ni Ucommunist na pia kuna ujamaa wa kisasa ambao ni Usoshalisti

Huu ucommunist kila kitu kinacontroliwa na serikali utakuta hata genge la mangi linamilikiwa na Serikali yaani hapa kila kitu serikali ndo inaendesha kila kitu

Ila Ukija kwenye ujamaa wa kisasa (Socialism) huu ni ujamaa ambao serikali inakua ndo inaendesha na kuzimiliki zile rasilimali muhimu kama mafuta, gesi, madini zile rasilimali muhimu na zenye thamani kubwa za taifa zinacontroliwa na Serikali ila Biashara nyingine nyingi tu watu binafsi mnaruhusiwa kufanya

Hapa mnakua km Capitalist tu ila tofauti ni kuwa rasilimali muhimu za nchi kama mafuta,gesi na madini zinakua chini ya udhibiti na kusimamiwa na serikali ndo inajitosa kuzichimba au kuwa na makampuni ya kuzichimba hizi rasilimali na faida yote inaenda moja kwa moja kwa serikali..Na pia serikali inakua na mamlaka ya kuingilia uchumi mfano mfano bidhaa zikipanda bei, serikali inaingilia inasema "No vitu vishuke" au wanapanga viuzwe bei gani

Aina nyingine ni Ubepari hii kila kitu private ownership tena mkiwa na Pure capitalism kila kitu na rasilimali zote zinakua chini ya mashirika au watu binafsi tu serikali inakua haiingilii kbs hizi resources au mali yoyote serikali yeye anapata kodi tu na hii mara nyingi serikali inakua haina Say yoyoye kuhusu uchumi inakua ipo ipo tu.

Aina nyingine ni mixed economy hawa wanachanganya ubepari na ujamaa unakuta sometimes serikali labda ndo inacontrol madini wakati huo huo makampuni binafsi yanacontrol gesi yaani ni full kumix ubepari na ujamaa.

Mimi swali langu kwenu wana JF mnadhani ni mfumo gani unalifaa hili taifa? naomba nisitoe mapendekezo kwa sasa nitakuja kunena jambo baadae.
 
Master Arcade

JF-Expert Member
Apr 21, 2021
238
500

Kwa Mimi naona mixed economy ndiyo mfumo bora ukiwekewa mikakati thabiti
 
Jesusie

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
898

Ujamaa ulijiua wenyewe kwa kujinyonga mpaka kufa,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom