Asilimia 61 ya bajeti yetu hutegemea misaada na mikopo, tusidanganyike

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Tuacheni mahaba na mahabani maana kuna mtu anasema tumepunguza kutoka 8.2 hadi 8.1 na kwamba hakuna kama hanganya aisee

Hivi kuna tofauti gani kati ya kutoka 8.2 hadi 8.1?

Hivi ndo hiyo 1 ndo kuandika hadi thread na kusifia?

Fact ni kuwa nchi yetu inategemea misaada kwa asilimia 61

Hiyo inajumuisha misaada na mikopo kutoka nje sisi ni tunaweka hapo 39 tu na hiyo 61 inatoka nje

Sijui ni lini tutaweza kujitegemea tukatae misaada tu
 
Back
Top Bottom