johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,881
- 141,813
Nimepata taarifa/fununu kuwa kuna baadhi ya wabunge wa chama cha upinzani wameamua kuunda chama kipya cha siasa kitakachokuwa mbadala wa chama kikuu cha sasa Chadema.
Taarifa zinadai wabunge hao wanawake wanaungwa mkono na baadhi ya wabunge wanaume kutoka chama tawala na pia viongozi waandamizi wa CUF na NCCR Mageuzi wametajwa kuwemo kwenye chama hicho kipya kinachobeba sura ya kitaifa.
Habari kamili zitawajia.