William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
Lazima kila vita ujiandae vizuri. Wakurya wanasema Vita ni vita. Hakuna Vita ndogo.
Simba akikamata hata kaswala kadogo lazima ashike shingo hana masihara kabisa. Yasije kuwakuta ya Simba.
Ukweli Wakili wenye maswali na anayeenda vizuri ni Kibatala. Wengine leo wana maswali mazuri kesho tena sioni kabisa. Naamini hii kesi imelalia upande. Kosa dogo mnampoteza Mbowe.
Wakili mwenye uwezo wa kuisimamia hii kesi na mwenye uwezo mzuri sawa na Kibatala ni Tundu Lissu tena aambatane na Mawakili wawili wa Kimagharibi ambao wana uzoefu na kesi zenye sura ya kisiasa.